Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hilo haliwezekani kabisa, mkuu. Mark my words!Na akishinda Kamala Harris?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo haliwezekani kabisa, mkuu. Mark my words!Na akishinda Kamala Harris?
Okay....tuupe muda nafasiHilo haliwezekani kabisa, mkuu. Mark my words!
Wanaukumbi.
Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa
Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense minister Yoav Gallant from his position.
It is being speculated that current Israeli Foreign Minister Israel Katz will replace him.
View: https://x.com/currentreport1/status/1853860552524874235?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/aryjeay/status/1853862899527368837?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwa akili zako kama firigisi kuuawa kwa raia ndio kushinda vita!?Kwa hiyo Hamas kushindwa hadi kila Mpalestina pale Mashariki ya Kati aliwe kichwa? Mbona ni hatari sana.
Kwa sisi wachambuzi makini, ile wiki moja tu ya mwanzo mtikasi ulipoanza katika harakati za kuwafurusha Hamas Israeli, tulijua ngoma ni nzito kwa Palestina na Hamas wote.
Adui anakutafuta, wewe unajificha? Hapo ni suala la muda tu, mtu analiwa kichwa.
Ka-eliminate takataka zote hizo yet KPI bado. Sipati picha hiko chuma kinachoenda kuteuliwa. KPI #1: Elimination of kubwa la magaidi.
Unajifariji!?Huu mtazamo wa Mungu mkubwa kidogo uikoseshe Pakistan bomu la nyuklia. Wenzao Wahindi walikuwa busy na sayansi na teknolojia, Wapakistani wanafanya research ya majini na sijui nani kupaa mbinguni. Kuja kushtuka wakagundua swala tano na nyuklia ni mbingu na ardhi, wakawezesha wanasayansi halisi.
Israel iko hapo kila mwaka inashinda nyie mnazidi kumtaja Mungu. Israel hapigwi kwa imani, ni silaha, mbinu, tech, washirika na mikakati.
Hawa mapunguani wapo wengi JF.Kwa akili zako kama firigisi kuuawa kwa raia ndio kushinda vita!?
Kama Hamas wanajificha hao wanajeshi elfu sabini wa Israel waliopata ulemavu wa kudumu wakipigana vita walipatikanaje!??
Operation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹
Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.
Siasa za Israel ni za ajabu sana nchi ilitakiwa kuwa pamoja wakati huu wa vita ilacha ajabu Kuna wapinzani kama wote kuanzia wanasiasa ngazi zajuu mpaka wananchi wa kawaida hii sio sawa ni hatar sana kwa Usalama wa nchi.Nyumba Haipo Sawa
Ndani Kunafuka Moshi