Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Wakuishinda hamasUshindi upi unaongelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuishinda hamasUshindi upi unaongelea?
uwe muislam ili uwe muongo?
Wiki hii tu wanajeshi wangapi wameshajiua wa Israel? Siku zote mkuu haki haipingiki, na mwenyezi Mungu ni Mkubwa kuliko Chochote.Operation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹
Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.
Wanaukumbi.
Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa
Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense minister Yoav Gallant from his position.
It is being speculated that current Israeli Foreign Minister Israel Katz will replace him.
View: https://x.com/currentreport1/status/1853860552524874235?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/aryjeay/status/1853862899527368837?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Na watoto wao ndio wanakufa viongozi sasahiviHauwezi kuifuta HAMAS ama HEZBOLLAH Kwa kuwaua viongozi... Kumbuka hao viongozi walikuwa watoto.
Oh my bad Nasrallah aliuwawa akiwa bunker, Sinwar akitupa fimbo na Haniyeh akiwa nyumba ya wageni.Drone kwa fimbo ni Sinwar wa Hamas bhana.
Huu mtazamo wa Mungu mkubwa kidogo uikoseshe Pakistan bomu la nyuklia. Wenzao Wahindi walikuwa busy na sayansi na teknolojia, Wapakistani wanafanya research ya majini na sijui nani kupaa mbinguni. Kuja kushtuka wakagundua swala tano na nyuklia ni mbingu na ardhi, wakawezesha wanasayansi halisi.Wiki hii tu wanajeshi wangapi wameshajiua wa Israel? Siku zote mkuu haki haipingiki, na mwenyezi Mungu ni Mkubwa kuliko Chochote.
Wewe Mungu wako kafaulu wapi?Mungu wa waisraeli ni mkuu (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho
USSR
Afrika haiboi wala haichosi...wazee wa kupenda chini tuuMbona mambo mengi sana jamani? Huku hatujamalizana na Baltasar wa Guinea umekuja uchaguzi wa US, hapa tunasubiri UEFA sisi wapenzi wa mpira mara mambo ya Netanyahu na Gallant tena!
WanatuchanganyaMbona mambo mengi sana jamani? Huku hatujamalizana na Baltasar wa Guinea umekuja uchaguzi wa US, hapa tunasubiri UEFA sisi wapenzi wa mpira mara mambo ya Netanyahu na Gallant tena!
Wanaukumbi.
Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa
Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense minister Yoav Gallant from his position.
It is being speculated that current Israeli Foreign Minister Israel Katz will replace him.
View: https://x.com/currentreport1/status/1853860552524874235?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/aryjeay/status/1853862899527368837?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Na akishinda Kamala Harris?Sina la kusema tena, mkuu. Tukubaliane kutokubaliana. Muda utasema vizuri. Kesho Trump, baada ya ushindi, anatoa maelekezo ya kukamilisha mara moja chokochoko za hapo Mashariki ya Kati.
Jamaa anakuja na kasi ya 6G+