Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Mungu wa waisraeli ni mkuu (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho

USSR
hiki kituko cha mwaka...
 
mungu wa israeli alimning'iniza mungu wenu wa-kristo msalabani dunia yenu wakristo ikaishia hapo mpk leo nyie na masanamu tuna kumnyenyeke myahudi
 
huyo wasimpe, kichwa chake kibovu, kama anavuta bange, atauwa mno watu huyu.
Huyu Mzee ana Akili nyingi Sana alafu pia ni mshauri mzuri Sana Kwenye Baraza zima la mawaziri, ana uwezo mkubwa Sana wa kushauri na kutoa solution nini kifanyike..
Tatizo lake ni hasira,msimamo na ukatili wa hali juu hasa Kwa waarabu
 
Mnijuwa sababu ya kufukuzwa galant?

Kamwabia nyau tunappigwa na hakuna njia hya kushinda, vijana wanakwisha na skari wa kukodi wanagoma kuja kupigana, mimi nanyanyua bendera nyeupe.

Nyau kaona hiyo ni aibu kubwa kwake, kamgukuza jamaa, na yey jhawezzi kuachia ngazi, mashtaka ya ufisadi yanamngoja ayajibu hapo jkwao, na mashtaka ya mauwaji ya Kimbar yanamngoja The Hague.

Hapo alipo anatamani auliwe.
Bibi tulia uandike vizuri.
 
Mungu wa waisraeli ni mkuu hv historia (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho

USSR
Are u mental going well? Why ww si muislamu unawasemea waisalam juu ya ukweli au uongo wa mungu wao how about your god hv histiriabya dunia imeanza Oct 7 sijui una umr gan au umeuba simu ya shem wako
 
Huyu Mzee ana Akili nyingi Sana alafu pia ni mshauri mzuri Sana Kwenye Baraza zima la mawaziri, ana uwezo mkubwa Sana wa kushauri na kutoa solution nini kifanyike..
Tatizo lake ni hasira,msimamo na ukatili wa hali juu hasa Kwa waarabu
huyo ni kama mkuu wa mkoa fulani hivi anayetoka maeneo wanalima bange, ila sijataja iringa. ni mropokaji mno, israel wakitaka kuleta propagana au justification ya kitu huwa wanamtuma yeye anaropoka afu wanakuja kumlaumu kwa kiini macho. juzi hapa alitoa proposal Gaza ichorwe upya na yajengwe makazi bora ya wayahudi ili pasikaliwe na wapalestina kabisa. thats who he is.
 
Back
Top Bottom