Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
1000118029.jpg

1000118028.jpg

Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel

Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.

Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450 usd.

Population ya Iran ni almost 90 million wakati Israel ni million 9.

Soma Pia: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Kwa takwimu hizo, Iran wana kazi kubwa. Budget Yao kubwa lazima wapeleke kuwahudumia wananchi

Israel Hana mzigo mkubwa kuwahudumia wananchi
 
Bajeti ya kijeshi ya Uran ni nusu ya bajeti ya kijeshi ya Israel hii unamaana kuwa Iran ni cha mtoto licha ya kua na idadi kubwa ya raia na jeshi kubwa huku ikiwa na mipaka mirefu

USSR
 
Bila shaka tutakubaliana sote kwamba!

Kitu cha kwanza na cha mhimu kwa binadamu yeyote ikiwa atataka kuwa na maendeleo yoyote yale, ni kuitumia akili yake ipasavyo!

Wakati wenzetu wakitumia akili kuamua mambo makubwa, sisi huku tumeipa nguvu kipaombele cha kwanza kutuamlia mambo hata yanayohitaji akili
 
Sasa wewe huoni population factor ndiyo inazitofautisha kiuchumi?
Israel ina watu wachache kulinganisha na Iran ambayo ina watu wengi! Kwa nini uchumi wake usiwe mkubwa kulinganidha na Iran?
 
Bajeti ya kijeshi ya Uran ni nusu ya bajeti ya kijeshi ya Israel hii unamaana kuwa Iran ni cha mtoto licha ya kua na idadi kubwa ya raia na jeshi kubwa huku ikiwa na mipaka mirefu

USSR
Kama Israel ni mwamba Kwa nini anaitegemea sana marekani?
 
View attachment 3123982

View attachment 3123983

Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel

Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.

Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450 usd.

Population ya Iran ni almost 90 million wakati Israel ni million 9.

Soma Pia: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Kwa takwimu hizo, Iran wana kazi kubwa. Budget Yao kubwa lazima wapeleke kuwahudumia wananchi

Israel Hana mzigo mkubwa kuwahudumia wananchi
Nchi yenye kutumia akili vizuri obvious itakuwa mbali nchi yenye wananchi wenye akili kisoda na matumizi duni hata wakiwa na rasilimali za asili lazima ibakie nyuma.
 
Kama Israel ni mwamba Kwa nini anaitegemea sana marekani?
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
 
View attachment 3123982

View attachment 3123983

Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel

Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.

Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450 usd.

Population ya Iran ni almost 90 million wakati Israel ni million 9.

Soma Pia: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Kwa takwimu hizo, Iran wana kazi kubwa. Budget Yao kubwa lazima wapeleke kuwahudumia wananchi

Israel Hana mzigo mkubwa kuwahudumia wananchi
We jamaa ni popoma,unalinganisha nchi iliyopigwa vikwazo miaka 50 na iliyopewa free trade area Euro japo haipo europe!!?
 
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
Vicheke kama hivi uta vipata kwa wananchi wa shit hole countries
 
Sasa wewe huoni population factor ndiyo inazitofautisha kiuchumi?
Israel ina watu wachache kulinganisha na Iran ambayo ina watu wengi! Kwa nini uchumi wake usiwe mkubwa kulinganidha na Iran?
Hiyo factor uliyotoa ni dhaifu mno. Kajipange urudi.
 
Umeandika hotuba ndefu unejiona umean
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
umeandika kitu cha maana sana .kama 45%

Umeamua kutuandikia hotuba .kama 45 % ya viwanda vya China ndo inamilikiwa na wawekezaj kutoka usa kwa nini wasiende kuwekeza Israeli ili waifanye isreli iwe tishio na yenye uchumi mkubwa .halafu kwa dunia ya sasa unaitaj Coca-Cola kama kitu cha maana sana kisichokuwa na mbadala kweli
 
Pia nilisoma kumbe hawa jamaa madini karibu yote ndiyo jewish wanamiliki duniani ukiona amekuja mchina au mmarekani kuchukuwa migodi kumbe pesa wamechukuwa kwa jewish kwa kuwa mnada wa madini upo Israel lazima pesa yao wataipata ukisha uza mzigo jewish wamemiliki viwanda duniani kote
 
Umeandika hotuba ndefu unejiona umean
umeandika kitu cha maana sana .kama 45%
Umeamua kutuandikia hotuba .kama 45 % ya viwanda vya China ndo inamilikiwa na wawekezaj kutoka usa kwa nini wasiende kuwekeza Israeli ili waifanye isreli iwe tishio na yenye uchumi mkubwa .halafu kwa dunia ya sasa unaitaj Coca-Cola kama kitu cha maana sana kisichokuwa na mbadala kweli
Kule china wanafuata vibarua na wafanyakazi wa gharama ndogo na aina ya madini kiurahisi
 
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
Hizi kamba tu, Familia moja tu ya Saudia Arabia ina Hela kuliko Matajiri wote wa kiyahudi Combined halafu mnakuja kudanganya wenzenu humu.

Leta ushahidi wayahudi wanahusika na 80% ya biashara zote Duniani, yaani China, Nchi za kiarabu, Urusi, India yote, Japan, Africa, South America na wazungu wana 20% na wayahudi wana 80% hebu ona hata aibu basi.
 
Marekani inaihitaji zaidi Israel kuliko Israel inavyoihitaji Marekani
Si Kweli Israel yenyewe imetengenezwa tu na kina Rothschild, Mafuta Yakiisha hapo middle East watatu pwa kama tambara la deki kama wengine waliotupwa kabla yao.
 
Wabongo kujifanya tunajua ndio zetu.

Kwa akili ya kawaida mtu anayelea familia ya watu 90 na anayelea familia ya watu 9 unawafananishaje?

Halafu mjue Uyahudi ni dini na uisrael ni utaifa. Tofautisheni .
 
Back
Top Bottom