Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Unafahamu kuwa wapo Wapalestina, wakristo., Waislam, wayahudi na wasio na dini?
HAMAS ni Islamist movement
Wanatumia ancient scriptures kwenye kupigania haki zao
 
Hivi we kwenye akili yako Israel itabaki hapo?
 
Kiajuza kinatafuta mabwana kinguvu hicho,menopause yake bado haijakata vizuri
 
Wanajeshi 700 washapigwa huko south lebanon ,.


Leo makomando watano wamepigwa


REAKING: The IOF admits to another elimination of an important commander + 4 other Israeli soldiers during clashes with Hezbollah last night:Maj.
Mara nyingi hawa nasema wanaoshabikia Magaidi wa Hamas wana vichwa vya Panzi angalia tu data unazotoa zinafanana sana na za yule waziri wa Arya wa Hamas huko Gaza yeye Mara zote hutoa tu data zinazoingia kichwani mwake kuna siku atasema waliokufa huko Gaza ni 50,000 yeye Anafanya hivyo ili kutafuta huruma kwa jumuia za ki Mataifa. Sasa wewe unaleta data ambazo hazina kichwa wala miguu lengo lako ni nini? Kwa akili yako ndogo Israel inaweza kupoteza askari 700? Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga usiyejua kitu kwenye vita. Kwa akili zenu kiduchu unafikiri kwa kusema tu idadi kubwa ya askari wa Israel wamekufa ndiyo magaidi wa Hamas watashinda hii vita?? Hizi ni ndoto za mchana.
 
HAMAS ni Islamist movement
Wanatumia ancient scriptures kwenye kupigania haki zao
Umejazwa ujinga na ukakujaa. Hakuna kitu kama "islamist" katika Waislam.

Kuna uislam tu.
 
Unaweza kutupa uhakika kuwa Israel huko Lebanon anapigwa au unapo bwabwaja wewe hapa ndipo Israel inapigwa? Kwa taarifa yako tu huko Lebanon magaidi wa Hezbollah wanapigwa sana na wengi wameuwawa na wengine kukimbia na kuacha shehena kubwa ya silaha wewe huyajui hayo bado unabwabwaja tu ovyo na kuwadanganya watu kwa sababu tu una chuki na Israel!!! Hivi wewe Adiosamigo unajua kwa nini Hezbollah wanapigana na Israel? Kuna uwezekano mkubwa hujui na unashabikia tu kitu ambacho hukijui.
 
Bora wewe umewaambia ukweli. Hamas baada ya kitendo cha kinyama kilichofanyika Oct 07,2023 walifanya kosa kubwa sana ambalo limewaghalimu viongozi wote wa Hamas waliobuni ujinga huo mpaka sasa hivi ni marehemu na kuna uwezekano tayari walishakabidhiwa wale mabikira 72 kama wanavyodanganywa. Raia wa kawaida nao waliunga mkono unyama huo maana walionekana mitaani wakisherehekea Upumbavu huo nao wengi wao walishakufa na wengine wanaendelea kufa. Gaza ile Israel iliwaachia miaka ile wasahau kabisa kama watakuja kuiona tena kwa sasa hivi kuna 3 D’s za Kiboko cha waarabu Mashariki ya Kati na Uajemi waziri Mkuu wa Israel Mheshimiwa Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI moja ya D yake ni Demilitarization ya Gaza hivyo wasahau kabisa kuwa watakuja na Gaza tena Najua maeneo hayo yalikuwa yanaitwa JUDEA & SAMARIA kwa maana ya West-Bank na Gaza ya sasa. Kwa hiyo maamuzi aliyoyafanya Yahya Sinwar ilikuwa ni upuuzi wa hali ya juu sana. Na kuna uwezekano mkubwa kuwa walijidanganya kuwa Allah wao angewasaidia kuwashindia vita dhidi ya wayahudi kwa hiyo wamlilie yeye kama walimwamini na mwisho wa siku kawatelekeza na kuwa acha solemba mbele ya majeshi ya Israel.
 
Ngoja niende telegram middle east spectator,kule vitu live
 
Vimefikia 37 mpaka jioni hii kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Hezbollah na clip footage wameweka. Ndani ya saa 24 IDF wamepoteza askari 13 na hao ni waliotangazwa official
 

View: https://www.instagram.com/p/DBjIypcMSvq/?igsh=MWI5M2FocXNmcHdncA==
 
Mbona unalia kwani nimekutaja wewe? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Vimefikia 37 mpaka jioni hii kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Hezbollah na clip footage wameweka. Ndani ya saa 24 IDF wamepoteza askari 13 na hao ni waliotangazwa official
Hizbullah wanagawa kichapo huko usipime,Kuna taarifa Kama ikiwa confirmed inadaiwa itabadili kabisa mwenendo wa vita, askari 130 wa Israel wameandika barua kwa netanyahu kuwa hawataki kuhudumu mpaka mazungumzo yafanyike na mateka warudi home
 
Ushapakwa mafuta na jamaa wa kawe!?..maana kwa tone yako utakua kondoo mlokole tu
 
UN wamesema Gaza kurudi kama ilivyokua zamani itachukua miaka 350 ,halafu we uko na tekno yako chanika unashadadia vita
 
Yaani jiji k
UN wamesema Gaza kurudi kama ilivyokua zamani itachukua miaka 350 ,halafu we uko na tekno yako chanika unashadadia vita
kama majiji ya Doha na Dubai yametumia miaka 35 tu kujengwa gaza ndo ije ichukue miaka yote hiyo ?
Labda wakatae kutoa hela za ujenzi.
 
Wewe unachanganyikiwa kodogo kodogo unaropoka tu. Watu wameuwa watu zaidi ya 1000 kwa Mara moja unakuja na ushuzi wako siyo jeshi. Kwanini waarabu wanawaambukiza uchizi na mnakubali?. Hamas Wana jeshi lililofanya kazu kuwa vazi la jeshi lao.
 
Mpaka sasa Israel unakaribia mwezi imeshindwa kupenya kwenye ngome za Hizbullah kila jaribio la kisonga mbele linakabiliwa na vifo na majeruhi.
 

Attachments

  • Screenshot_20241025-185445.png
    920.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…