Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Huo ujumbe wala haukutoka kwa Israel. EU wameenda kuwasihi Hezbollah kusitisha mashambulizi yao wakijua Israel akiigeukia Lebanon, nako kutakuwa na kilio kama Gaza.
Acha uongo wewe mbona hao Israel walivyovamiwa October 7 hawakwenda kuomba kibari UN bali walirudisha mapigo kule gaza, kwanini wasifanye hivyo kwa hizbollah ikiwa kweli wanarusha makombora, Israel waoga wanawaogopa hizbollah kwa kuwa wanajua kuwa wana kila aina ya silaha sio kama gaza wanaotumia mawe na magobore,, lkn pamoja na hayo mawe na magobore zayuni kijasho kinamtoka seuse iwe hizbollah..
 
Mahaba ndugu yangu Muisrael mweusi yupo radhi kuongea uongo daaah wana roho ngumu hawa kuzidi hata wa Tel Aviv.
 
Vyombo vya habari vya Israel: "Jeshi la Israel" linaficha uharibifu uliosababishwa na Meron.

Uwezo wa Hezbollah husababisha wasiwasi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaonya juu ya uwezo wa Hezbollah, haswa baada ya operesheni iliyolenga kambi ya jeshi la anga huko Meron
 
According to the Washington Post, US officials express concerns that Prime Minister Netanyahu sees expanding the war against Hezbollah as a means to stay in office at a time when public criticism of Israel is increasing for its responsibility in the events of October 7.

US intelligence assessment: As long as the IDF continues to fight in the Gaza Strip, it will have difficulty succeeding in the war against Hezbollah in Lebanon
 
Mungu anisamehe!
Ila wayahudi wazayuni siwapendi abadani! Wale watu wana roho mbaya sana. Sisi binadamu wengine wanatuona kama takataka.

Wapigwe tu!
Mkristo wa Africa kuyajuwa haya ni yule tu aliyewahi kufika na kuishi Israel vinginevo hawawezi kulijuwa hili.
 
Acha uongo wewe mbona hao Israel walivyovamiwa October 7 hawakwenda kuomba kibari UN bali walirudisha mapigo kule gaza, kwanini wasifanye hivyo kwa hizbollah ikiwa kweli wanarusha makombora, Israel waoga wanawaogopa hizbollah kwa kuwa wanajua kuwa wana kila aina ya silaha sio kama gaza wanaotumia mawe na magobore,, lkn pamoja na hayo mawe na magobore zayuni kijasho kinamtoka seuse iwe hizbollah..
Ritz ame like comment yako. I hope utakua umefurahi sasa
 
Mungu anisamehe!
Ila wayahudi wazayuni siwapendi abadani! Wale watu wana roho mbaya sana. Sisi binadamu wengine wanatuona kama takataka.

Wapigwe tu!
Sio wayahudi tu Allah hawapendi abadani wakristo pia , usiwe mnafiki

Allah kaweka Aya kabisa ukiwa na urafiki na mkristo au myahudi wewe sio Chochote kwake
 
Mungu anisamehe!
Ila wayahudi wazayuni siwapendi abadani!
Tena ndio walimpiga sumu pedophile Muhammad wakamuua kikatili usiwapo wachukia na wewe ni muislamu itakuwa sio kabisa

Ila kifo Cha pedophile Muhammad ililipwa kisasi na mwanamke wa kiyahudi baada ya Muhammad kumbaka na kuuwa familia yake yote
 
Sana!

Yaani hao ni NAZI wa kizazi hiki.
Nimependa jinsi wanavyo wafanyia magaidi ya kiislamu anaua mpaka mayai , Tanganyika tumewahukumu kuwanyonga magaidi waislamu mpaka wafe safi sana
 
Without Israel, there would be no Hamas.
But without Hamas, there would be no Palestinians.
 
We si wa kwanza kuwachukia na hutokua wa mwisho kuwachukia maana imeandikwa "mtachukiwa kwa ajili ya jina langu" uzuri ni kuwa hatima yao wayahudi ni nzuri tena nzuri kupindukia na wapalestina daima wataendelewa kuwa chini ya wayahudi🤣😆😂
Jina la Yesu au?

Kumbe huwa hamuelewi hata ukristo ni nini, uyahudi ni nini na mazayuni ni nani.
 
Ritz ame like comment yako. I hope utakua umefurahi sasa
MPYA:

⚡ 🇮🇱🇱🇧 WallaNews:

"Maafisa wakuu wa Israel wanasema ni wakati wa kubadilisha mwelekeo wa kijeshi kutoka Gaza hadi Lebanon, kuhamia operesheni za kukera"

Maafisa hao walisema kwamba operesheni za IDF zinapaswa kubadilishwa kutoka kwa ulinzi hadi kosa, kwamba diplomasia haitafanya kazi, na kwamba Hezbollah lazima ilipe bei chungu na kuhisi shinikizo.

Wanasema Israel inapaswa kuandaa vikosi vyake kwa ajili ya hatua katika mstari wa mbele wa Lebanon, na kuendeleza mipango ya operesheni ya vita dhidi ya Hezbollah.

Mikutano muhimu ilifanyika wiki hii, na baadhi ya mipango ya mgomo tayari imeidhinishwa.

Maoni: Hezbollah jana katika mkutano na EU, Kamishna Borel alikataa suluhisho la kidiplomasia na Israeli.

Hezbollah inataka vita na polepole inaingia katika awamu ya pili niliyoandika. Kwa upande mwingine, Israeli pia huenda vitani kwa sababu hakuna masuluhisho mengine yaliyosalia.

Israel hadi sasa imejaribu kuwashawishi Hezbollah 'kusitisha mapigano'. Ndio maana maafisa wakuu wa nchi za Magharibi wanasema kila wakati kuwa Israel haitaki vita na Hezbollah.

Na watoto katika Gaza walitaka kuishi, lakini Israeli waliwaua kwa umati, hivyo.

@Mtazamaji_Mashariki_ya_Mashariki

t.me/megatron_ron
 
🇪🇺🚨‼️ Most Muslims I met in Europe are from countries that were displaced due to wars, usually caused and executed by NATO countries.

The rest is in Europe on work visas legally, since they provide qualified Labour and the country encourages them to come.

Ironically, now Europeans are enraged that Palestinians want to stay in Gaza.
 
🟡Mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Hezbollah, Hashem Safi al-Din:

"Ujumbe kwa israel, ikiwa unafikiria kuwa kuna besi zilizofichwa ambazo hatuwezi kupiga, basi tunakuambia kuwa hakuna kitu kama hicho mbele ya makombora na uwezo wa Hezbollah, maeneo yote ya Israeli yako ndani ya safu ya makombora ya Hezbollah. .”
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱 Netanyahu tena atoa wito wa 'kusitishwa kwa mapigano' na Hezbollah

"Israel iko tayari kutatua mzozo na harakati ya Hezbollah kwa amani, lakini inazingatia chaguzi zingine ikiwa itashindwa."

"Israel inalenga kuwalinda raia wake na kuwarudisha wakaazi wa kaskazini mwa nchi kwenye makazi yao.

Hili ni lengo la kitaifa ambalo kila mtu anashiriki na tunatenda kwa kuwajibika ili kulifikia. Ikiwa itafanikiwa, basi tutafanya kwa njia za kisiasa, na ikiwa sivyo, basi tutachukua hatua kwa njia zingine." - pia alisema.

t.me/megatron_ron
 
Back
Top Bottom