Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Nilihofia sana kauli ya Nenmtanyahu ili Oktoba 7 kuwa Gaza itaenda kupata kitu kitakachoishangaza dunia....

Tuombe amani itamalaki. Kuua haijawahi kuwa suluhisho
 

Hamna, waarabu miungu wako ndio walikuja na kuchukua mababu zetu mateka na kuwapitisha Pwani, waulize watu wakuelimishe nini maana ya Bagamoyo au Bwagamoyo, halafu wakatia na dini yao hapo Pwani ambayo umezaliwa karne kadhaa baadye unatupigia makele kuihusu.
Hiyo dini muarabu muhammad alikua dini zingine naye kaona aanzishe yake huko jangwani.
 

Rais wa Ujerumani aomba msamaha kwa ukatili wa kikoloni uliofanywa na nchi yake kwa Tanzania​

(CRI Online) Novemba 02, 2023

Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani ameomba radhi kutokana na ukatili uliofanywa na Ujerumani kwa Tanzania, wakati wa vita vya upinzani vya Majimaji dhidi ya Utawala wa Kikoloni wa Ujerumani mwanzoni mwa miaka ya 1900 ambapo watu laki 3 waliuawa, na kuwa moja ya vita vya kupinga ukoloni vilivyomwaga damu nyingi zaidi barani Afrika.


MKIRISTO MWENZENU HUYU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…