Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

Tafuta bandiko langu la Leo chief code named," HAWA WAISRAELI , SI MCHEZO ETI" limejibu hili swali lako bila shaka
 
Mmezisldiwa kweli maana israel wamelipua vinu vya nyuklia kisha wanaua makamanda na wanasayansi ndani ya nchi yenu. Huko ni kushindwa kukubwa. Khamein alijichimbia shimoni kuwaogopa israel.
🤣🤣🤣👇
Your browser is not able to display this video.
 
K....ma la mama ako wewe

Muulize jana alikuwa wapi kabla hajaja kuwapikia na hakunawa mikono
We Bibie mtoto wa kike unatoa wapi ujasiri wa kutukana watu mtandaoni?
 
Iran ni noma kombora moja ndo limechakaza mtaa wote hivi ? Kweli wa Israel wa kazuramimba wana haki ya kubweka kwa uchungu
Asaivi uwe makini ukisafiri ukisema unaenda Gaza unaweza pelekwa Tel aviv maana zinafanana asaivi
 
Asaivi uwe makini ukisafiri ukisema unaenda Gaza unaweza pelekwa Tel aviv maana zinafanana asaivi
Mzee ndevu Khomenei katembeza dozi kwa mtu na shoga yake hadi wameomba amani , Trump anasema hajawahi kuona makombora mazito kama makombora ya Iran tangu azaliwe na amekiri Israel imechakazwa sana.

Ila wayahudi wa kazuramimba bado wanajipa moyo kuwa taifa la mungu uchwara halijachakazwa
 
Israel hawana miujiza ya kuwajuwa walipo, shida ni kwamba ndani ya Iran kuna Wasaliti ndio wanaotoa information kuuza nchi yao lakini kama unavyoona wakikamatwa huwa wanafungwa na mabomu yakaelekezwa huko huko Uyahudini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…