Kwan unahamisha vitu ondoka ww kama ww. Acha wapate haki zaoKwa akili zako hayo masaa sita yanatosha kuhama!??
Pia kwa uelewa wako unadhani Israel haijui kambi za Hizbollah zilipo!??
Wanafahamu zipo mbali na raia wa Lebanon,ila jiulize kwanini wanashambulia raia wa kawaida??
Kwa akili zako Israel hajui kambi za Hizbollah zilipo!??Ni kweli kabisa 100% Israeli hana hata kidogo hayo mamlaka. Ni kwa ustaarabu tu na uungwana Israeli kaona huruma kwa Raia wasio na hatia ili wasidhurike kwa vumbi litakalotimka hapo waondoke wakajisetiri pembeni kidogo ili kupisha mtifuano. Ni hilo tu. Ila kwa kiburi na dharau yao wamejikuta wanauota moto usiowahusu au pengine nao pia wanataka kuwahi mabira.
Hiyo hoja ya Kagame haina mashiko kwa sababu siku akiliamsha ,watu wa Kagera watajiondokea wenyewe tena kwa haraka bila ya matangazo. Je; Kwani wale wakimbizi kwenye makambi hapa Tz walisema walitangaziwa waondoke/wakimbie?
Amesema ndipo milipuko ilipotokea. Kama kawaida magaidi yanajificha nyuma ya watoto na wanawakeVipi umtoe civilian kwenye nyumba yake? Pia Israel anapiga majumba kawahi onyesha hata bunduki kama dalili kakuta kwenye hayo majumba.
Nimekuuliza swali embu jibu kama mtu mwenye akili timamu.Kwan unahamisha vitu ondoka ww kama ww. Acha wapate haki zao
Weeeeh weeeh weeeeh acha upumbavu.Amesema ndipo milipuko ilipotokea. Kama kawaida magaidi yanajificha nyuma ya watoto na wanawake
Umepaona Galilaya mkuu!??Sio kwamba tusubiri kuona magofu maana ndio kinachofuatia patasambaratishwa
Ubishi wenu na kiburi kilichokubuhu; Matokeo ndo hayo. Majumba mnayong'ang'ania hamtaki kuondoka mmeficha humo kitu/vitu gani? Si mbebe hivo vitu vyenu muondoke navyo? Au mnaogopa setilaiti itaviona na siri itafichuka?Vipi umtoe civilian kwenye nyumba yake? Pia Israel anapiga majumba kawahi onyesha hata bunduki kama dalili kakuta kwenye hayo majumba.
Yep! Halafu matokeo yalikuwaje?Last time mtu kapiga Kagera vilizuka Vita vya Uganda na Tanzania.
Na kwenye P.O.BOX kuna majanga yake, kumbuka kifo cha Mondlane mjini Dsm.Iran wamepiga marufuku kwa IRGC guards kutumia vifaa vya mawasiliano?. Ni mwendo wa P.O. BOX tu
Si wafanye!Wanao sana.
Kwani kambi ya Galilaya sasa hivi inafanya kazi??
Kaulize kama wameweza kulipua kambi ya jeshi yenye air defence system watashindwaje kulipua raia wasiokua na ulinzi??
Tunasubiri kilio chenu mkisema wanaonewa wanaua wanawake na watoto kule mlisemaje mwanzoni ila mwisho mkasema nini?Umepaona Galilaya mkuu!??
Raia wote wa Israel takriban laki tatu wamepakimbia.
Kitendo cha Israel kushambulia raia tarajia na Hizbollah kushambulia raia vile vile.
Uzuri ama ubaya Hizbollah sio Hamas.Ana makombora ya masafa marefu na wao Israel wanalijua hilo.
Mimi kinacho ni kera mdogo wangu hapa Hezbullah ana silaha anaweza kuichakaza Israel vibaya sana. A mfu anapigana vita vya adabu na watu wasio na adabu .Hii vita wacha tuone watajibu vipi.
Ila nahisi majibu yatakua ya kiwango kikubwa zaidi ya jana.
Its not about matokeo, ni kwamba Uganda Hakuwa na mamlaka hayo na uvamizi wa Tanzania Uganda ukapewa Baraka, same thing kinachoendelea huko.Yep! Halafu matokeo yalikuwaje?
Jana mbona walifanya!??Si wafanye!
Daaah kaka hilo jambo linaweza kutokea ila sio kirahisi hivyo.Mimi kinacho ni kera mdogo wangu hapa Hezbullah ana silaha anaweza kuichakaza Israel vibaya sana. A mfu anapigana vita vya adabu na watu wasio na adabu .
Nacho taka nione Israel inawaka moto yote ndio roho yangu itakuwa baridi.
Hamas mlikua mnasema hivyo hivyo ila mpaka sasa nini mnasema? takatakaMimi kinacho ni kera mdogo wangu hapa Hezbullah ana silaha anaweza kuichakaza Israel vibaya sana. A mfu anapigana vita vya adabu na watu wasio na adabu .
Nacho taka nione Israel inawaka moto yote ndio roho yangu itakuwa baridi.