Ni kweli kabisa 100% Israeli hana hata kidogo hayo mamlaka. Ni kwa ustaarabu tu na uungwana Israeli kaona huruma kwa Raia wasio na hatia ili wasidhurike kwa vumbi litakalotimka hapo waondoke wakajisetiri pembeni kidogo ili kupisha mtifuano. Ni hilo tu. Ila kwa kiburi na dharau yao wamejikuta wanauota moto usiowahusu au pengine nao pia wanataka kuwahi mabira.
Hiyo hoja ya Kagame haina mashiko kwa sababu siku akiliamsha ,watu wa Kagera watajiondokea wenyewe tena kwa haraka bila ya matangazo. Je; Kwani wale wakimbizi kwenye makambi hapa Tz walisema walitangaziwa waondoke/wakimbie?