Kwani taarifa inasomekaje?Kama ni hivyo basi Ile kauli ya ''wanawake na watoto" ifuteni muwajumuishe wote wakiwemo baba zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani taarifa inasomekaje?Kama ni hivyo basi Ile kauli ya ''wanawake na watoto" ifuteni muwajumuishe wote wakiwemo baba zao
haitaji uwe mwaisilamu au mkristu ndio uone unyama na ukatili wanao ufanya Israeli kwa binaadamu wenzao.Kwani tangazo la raia kuondoka hukuliona? Alafu wakati hao watoto wanakufa baba zao huwa wanakaa wapi muda huo?
Huoni wenzako wanavokomaa humu kusema Israel inauwa wanawake na wototoKwani taarifa inasomekaje?
Katika vita yeyote unapolenga makazi ya raia wanaoathirika kwa kiasi kikubwa ni wanawake na watoto.Huoni wenzako wanavokomaa humu kusema Israel inauwa wanawake na wototo
Na ukumbuke hakuna vita yoyote iliyowahi kupiganwa bila raia wa kawaida kuuwawa, sasa kwa eneo dogo kama Gaza lenye wakaazi zaidi ya million 2 ni jambo la kawaida kuona raia wengi pia wakifa, tunachotakiwa ni kuomba vita viishe na sio kulalamika kuwa "wanawake na watoto wanakufa"Katika vita yeyote unapolenga makazi ya raia wanaoathirika kwa kiasi kikubwa ni wanawake na watoto.
Hilo mkuu halipingiki.
Wanaume ni wepesi kujizatiti na kujihami dhidi ya shambulio ila wanawake na watoto inakua ni mtihani.
Ndio maana hata UN ikitokea vita hata vya Ukraine na Urusi walisema directly "innocent women and children will suffer".
1. Masaa sita ni mengi mno kwa mtu aliyedhamiria kuyaokoa maisha yake. Hata kwa miguu atabeba kinachowezekana na ataondoka na familia yake.Masaa sita ni machache,ikiwa unamwambia mtu ahame na una lengo nae zuri utampa hata siku moja siyo masaa maana wengine ni ndugu wanaishi sehemu tofauti tofauti labda wanasubiriana wahame kukaa sehemu moja huko uhamishoni?
Sizijui vita but it ain't fair Mzayuni anachofanya hakifai na bahati mbaya sana hakuna wa kumsimamisha alianzia Gaza kule mbio mbio kauwa uwa wee kaona kimya hakuna wa kumzuia kaona sasa ahame zone akaendelee kuuwa.
Mkuu; mbona nimeomba tuachane na hilo? Tuzungumzie Hezbollah vs Israeli ambao ndo timu mbili zilizo uwanjani. Samahani kama kuna usumbufu uliojitokeza hapo.Vatican ipo nchi gani!??
Vatican ni semi-autonomy ndani ya Italia.
Tusiendekeze USHABIKI bro tuongee uhalisia.
Hizbollah tu unapapatuana nao uje ukiamshe na Italy!??
Israel wanafanya Vita inayofuata Sheria. Jana kila mkazi wa southern Lebanon alipata sms iliyomtaka ahame. Wajiulize wajuba wa Israel walijuaje namba zao.Hizbullah walisema israel watachagua vita au amani,vita vinavyofuata sheria au visivyofuata sheria, israel wameamua kufuata vita visivyofuata sheria
Sawa. Leta sasa idadi ya Wababa au wababa hawafi???Watoto waliokufa ni 21 tu.
Embu acheni hizo.
Hao jamaa cjui wanatumiaje akili zao. Kwani ilikuwa ni lazima Hezbollah naye aanzishe mashambulizi Oktoba 7? Eti anamuunga mkono mhuni gaidi mwenzake. Angejiongeza akasubiria aone upepo unaendaje. Sasa kilichompata HAMAS naye anakipatapata live bila chenga.. Asilielie hapa kwani ni sahihi ulivosema: "Mwana kukitafuta, mwana kuliget".Israel wanafanya Vita inayofuata Sheria. Jana kila mkazi wa southern Lebanon alipata sms iliyomtaka ahame. Wajiulize wajuba wa Israel walijuaje namba zao.
Lakini pia Kati ya Israel na Lebanon Nani alimuanza mwenzake. Kwa Sasa Nani analialia.
Mwana kukitafuta, mwana kuliget.
Na kwa walio Hama ndio umetoka hiyo. Haitabakia nyumba au Banda la kuku. Yaani wameanza maisha ya ukimbizi na utegemezi kwa Jambo ambalo wangekaa mezani na kulimaliza.
Yeah. Ndo maana siku zote watu huomba iwepo Amani na huchukua kila juhudi inayowezekana kuchukuliwa ili kuepusha vita kutokea.haitaji uwe mwaisilamu au mkristu ndio uone unyama na ukatili wanao ufanya Israeli kwa binaadamu wenzao.
Mimi ninacho kipinga hapa ni mauaji ya binaadamu wenzetu wasio na hatia bila kujali ni waislamu au wakristu ilimradi ni binaadamu wasio na hatia hawakustahili kifo.
Wameuwa watu 500 kwa mpigo watoto kwa wakubwa jana tu!!!!
Israel kutuma ujumbe kwa Lebanon za sms ni kitu rahisi kwasababu mwenye satellite kubwa ukanda huo ni Israel.Israel wanafanya Vita inayofuata Sheria. Jana kila mkazi wa southern Lebanon alipata sms iliyomtaka ahame. Wajiulize wajuba wa Israel walijuaje namba zao.
Lakini pia Kati ya Israel na Lebanon Nani alimuanza mwenzake. Kwa Sasa Nani analialia.
Mwana kukitafuta, mwana kuliget.
Na kwa walio Hama ndio umetoka hiyo. Haitabakia nyumba au Banda la kuku. Yaani wameanza maisha ya ukimbizi na utegemezi kwa Jambo ambalo wangekaa mezani na kulimaliza.
Tofauti na matarajio ya wengi imekuja kuwa simple kuua viongozi wa Hezbollah kuliko HamasLeo tena kapiga mtu mkubwa huko Beirut
Adui akihama. Hiyo n vita hata lisaa linakutoshaMasaa sita ni machache,ikiwa unamwambia mtu ahame na una lengo nae zuri utampa hata siku moja siyo masaa maana wengine ni ndugu wanaishi sehemu tofauti tofauti labda wanasubiriana wahame kukaa sehemu moja huko uhamishoni?
Sizijui vita but it ain't fair Mzayuni anachofanya hakifai na bahati mbaya sana hakuna wa kumsimamisha alianzia Gaza kule mbio mbio kauwa uwa wee kaona kimya hakuna wa kumzuia kaona sasa ahame zone akaendelee kuuwa.
Na kwann walimchokoza. Je kwake hawakuuliwa watu wasio na hatia..? Leo huruma ya nn na kabla ya why hamkuwahurumia israelMasaa sita ni machache,ikiwa unamwambia mtu ahame na una lengo nae zuri utampa hata siku moja siyo masaa maana wengine ni ndugu wanaishi sehemu tofauti tofauti labda wanasubiriana wahame kukaa sehemu moja huko uhamishoni?
Sizijui vita but it ain't fair Mzayuni anachofanya hakifai na bahati mbaya sana hakuna wa kumsimamisha alianzia Gaza kule mbio mbio kauwa uwa wee kaona kimya hakuna wa kumzuia kaona sasa ahame zone akaendelee kuuwa.
Yes! Wakiulizwa swali hilo hawatoi jawabu straight bali watakurudisha kwenye mambo yaliyopita enzi hizo na madai au makubaliano ambayo hayakutekelezwa au yalikiukwa na blaablaa nyingi. Ni wababaishaji wa kiwango cha kimataifa na hukwepa maswali ya msingi, huvuruga agenda au hoja muhimu kwa kuzusha mambo yaliyo nje ya Hoja yan tuseme tu ukweli kwamba Hao jamaa ni vurugu tupu utadhani wote wanavuta bangi au kubwia unga.Na kwann walimchokoza. Je kwake hawakuuliwa watu wasio na hatia..? Leo huruma ya nn na kabla ya why hamkuwahurumia israel
Hilo unalijua wewe.Sawa jiandae mkuu, maana hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays, wakiwa malizia Waarabu you are next, andaa wajukuu zako Kina Anti Babuu, Anti wesaki na Anti Kilauwo. Sasa hivi hatushei mipaka lakini unwagaji damu wanaousabababisha Africa ni mkubwa, imagine sasa wakishea na wewe mipaka.