Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

Halafu kingine, Israel hufuata watu hata kwa mataifa ya mbali, yaani kuna NAZI remnant walifuatwa hadi Argentina.
Myahudi hulipiza kisasi hata kama itachukua miaka 50, huwa mwendo wa kuiwanda tu.
 
Nisikilize vizuri mkuu
Kama unaamini katika kisasi cha jino kwa jino basi mjadala huu una maana

Taifa la Israel lina Haki ya Kujilinda. Mimi na wengine tunaojua Historia tunaamini bila shaka kabisa kuwa waarabu wameikalia ardhi ya Israel isivyo haki lakini je kuua watoto kama HAMAS walivyofanya ndivyo kunaleta haueni?

Mtu mjinga ama mpumbavu asikulazimishe ukahama kutoka kwenye hekima na kufuata mkumbo wa upumbavu wake.

Tuikemee na kuilaani vita (aina yeyote), hata ya maneno bali tuwatafutie suluhu wanaogombana ili kustawisha amani na mshikamano.

Tanzania tuna utamaduni wa utani wa kikabila ambao unafanyika ktk misiba, sherehe na kadhalika. Chanzo cha utani huo ni kufunika machungu ya mauaji ya vita za kikabila zilizopelekea kugharimu maisha ya watu wengi. Waliamua kupatana na kugeuza uchungu kuwa utani.

Ukitumia akili kidogo utaona namna ambayo amani haijawahi kuwa chaguo baya
 
Pole sana kwa machungu na mateso makali wanayopitia ndugu zako wa Palestina na hasa kina mama,wazee na watoto
 
Our fellow black men have been murdered decades and decades They never protest
Leo majitu yanauana mbali huko kila mtu pray for Israel pray for Palestine
Wacongoman sio watu?..
Black tumerogwa
 
mnafurahia kupiga ngumi moja huku mnapigwa ngumi 20 , hiyo ni dalili ya ukilaza , raha ngumi uzipige muda wote sio kupigwa muda wote uku unashangilia ngumi uliyopiga jana
Yupo kwa denial so ni lazima awe anarudia rudia tukio liliotokea siku 4 nyuma.Ukimwambia aongelee yanayoendelea sasa hivi utakuwa unamtesa sana.
 
mnafurahia kupiga ngumi moja huku mnapigwa ngumi 20 , hiyo ni dalili ya ukilaza , raha ngumi uzipige muda wote sio kupigwa muda wote uku unashangilia ngumi uliyopiga jana
Wao wafia dini huwa hawajitambui
 
Aisee!
 
Pole sana kwa machungu na mateso makali wanayopitia ndugu zako wa Palestina na hasa kina mama,wazee na watoto
Na wewe pole zaidi, mabwana zako wa
kizayuni hiki ndicho kinawakuta:

Onyo, clip inatisha kutazama, kama huna moyo usitazame:



Your browser is not able to display this video.
 
Usiingie mtego wa MK254 kushabikia vita.

Mimi na ugalatia wangu sijapenda kabisa yanayoendelea pale Gaza, Ukraine, Sudan, DRC, Libya, Syria etc

Vita ni upumbavu na wehu mkubwa
Mungu mwenyewe aliruhusu mataifa mbalimbali yapigane.
 
Kwann waarabu wasiwachukue ndugu zao wapalestina mbona uarabuni Pana ardhi tele ya kutosha kuliko kuwaacha wauwawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…