inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Huyo mgonjwa akili,na walau yupo tz Kuna uhakika wa chakula, angekua kwao Kenya angekua anazurura majalalaniPunguza kuandika kishabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mgonjwa akili,na walau yupo tz Kuna uhakika wa chakula, angekua kwao Kenya angekua anazurura majalalaniPunguza kuandika kishabiki
Israel Leo wamedai watu 1200 wakiwemo askari 120 wamefariki,najua wamepunguza idadi,dw Swahili wamesema watu 2100 wameuawa mpaka Sasa kwa ujumla,piga hesabu nani kaliwa..na bado taleban wanakuja,pale patanogamnafurahia kupiga ngumi moja huku mnapigwa ngumi 20 , hiyo ni dalili ya ukilaza , raha ngumi uzipige muda wote sio kupigwa muda wote uku unashangilia ngumi uliyopiga jana
Kama wametokea Lebanon basi hao ni vidume hizbullah,kitu ambacho Israel hataki sikiaKawaida hiyo.
Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Mpalestina aliyepigwa risasi ya kichwa huko nyuma Kisha waisrael wakala ubongo wake,hukuwahi kusikia!?Hamas wanaua watu vibaya sana, wanapasua mimba za wajawazito, kuna mtu Jana wamempasua kifua na kuutoa moyo wake wakaanza kuula, wanafanya mambo beyond ya unyama wa kutisha.
Mfano wako ni huyo wa Argentina tu,hakuna mwingine?.. Argentina palikua na kundi kubwa la maofisa wa juu wa SS, Israel walipata mmoja tu?Halafu kingine, Israel hufuata watu hata kwa mataifa ya mbali, yaani kuna NAZI remnant walifuatwa hadi Argentina.
Myahudi hulipiza kisasi hata kama itachukua miaka 50, huwa mwendo wa kuiwanda tu.
Muda huu nimeiona Gaza ni magofu matupu ni kipigo kinaendelea kweli Hammas wamejikosea wamethubutu kumgusa Simba takoNinavyowakubaligi mitu ya Israel wote wanajitolea sans kwa ajili ya Taifa lao. Na hawanaga kuremba wala kukata tamaa. Na hapo ndio kwanza kazi inaanza. Ndio maana waziri mkuu katangaza ni vita vya muda mrefu. Hapo hizo za kutangazwa baadae zitaachwa,atakuwa anadokolewa mmoja mmoja kokote aliko. Na wote waliopanga mipango hii ovu na nyumba iliyopangiwa mipango na mtu alieanza anza hii mipango wote hesabuni hasara kwenu
kauli hz ilibid mziseme siku yq jmos , hamas alipovamia Israel na kuuq raia wema waliokuwa kwenye starehe zao , ila hapa mnajifanya wanafiki tu baada ya kuona upepo mbaya
Anapita wapi mipaka yote jamaa ameshaikamata huku manuari za USA zimesogea karibu ili taifa lolote likitia pua wanaliwa kichwaIsrael Leo wamedai watu 1200 wakiwemo askari 120 wamefariki,najua wamepunguza idadi,dw Swahili wamesema watu 2100 wameuawa mpaka Sasa kwa ujumla,piga hesabu nani kaliwa..na bado taleban wanakuja,pale patanoga
Unafikiri wakiamua kuja watakuja kwa mabasi Kama wanaenda harusini!?..halafu shughuli tokea Lebanon ishaanzaAnapita wapi mipaka yote jamaa ameshaikamata huku manuari za USA zimesogea karibu ili taifa lolote likitia pua wanaliwa kichwa
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Mfano wako ni huyo wa Argentina tu,hakuna mwingine?.. Argentina palikua na kundi kubwa la maofisa wa juu wa SS, Israel walipata mmoja tu?
utashangaa hata waarabu hawawataki maana wafilisti kwa asili si waarabu. Pengine ndiyo sababu iran inawapa makombora tu na si chakula ili wakirusha israeli, israeli iwateketeze.Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Eti hii akili ndio isaidia watu wa Gaza, na ipambanie maendeleo kwa kutoa mawazo ya kujenga hapa Tanzania.Kawaida hiyo.
Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Tulia dawa ipenyePunguza kuandika kishabiki
Wapalestina wauliwe kila siku, wao wapige mziki na kushangilia?Eti hii akili ndio isaidia watu wa Gaza, na ipambanie maendeleo kwa kutoa mawazo ya kujenga hapa Tanzania.
Ushindi wa kuua vijana waliokuwa kwenye music festival et, hauna huruma na watu Gaza wewe ni gaidi endelea kufurahia ushindi wenu.
Wengine nao ndo bado wanaelekea kuonja mapaja ya wanawake wa Gaza na mabinti ili nao waje wafurahie ushindi wao.
Kwa sisi ambao tunaumia kuona ndugu zetu Palestina wanavyoteswa na makundi ya kigaidi yenye maslahi na Iran tunalia sana.
Raia ambaye atakubali kukaa karibu na au kuambatana na magaidi na yeye ni sehemu ya ugaidi.Hivi ni vita mzee, reality not a movie, kule kwenye muvi ndio huwa tunaona magaidi yakishambulia na kujificha ndani ya raia wa kawaida, halafu makomando wanaingia kiaina na kuwaua humo humo bila raia yeyote kuathirika, ila hapa sasa hao magaidi kuwachomoa ndani ya raia sio rahisi kihivyo, unalazimika kupiga carpet bombing.
Kwako wewe ni rahisi kuongea ongea na kuandika kwenye mitandao maana upo sehemu yenye amani, hakuna anayeshambulia familia yako, ila ikujie mtu ashambulie watoto wako kisha aende akajifiche kwenye raia.
Unajua vile waarabu waliwahasi Waafrika wakati wa utumwa? unajua nchi za Afrika ambazo zimekataza raia wao kwenye kufanya kazi uarabuni kutokana na ubaguzi, mateso na hata mauaji?Wa-Tz tukumbuke haya yanayotokea Gaza ni marejeo ya madhambi ya utawala wa makaburu huko Afr. Kusini. Nchi za Magharibi ziliunga mkono ubaguzi na ukandamizaji wa Weusi kama wanavyounga mkono Israel sasa hivi katika ukatili wao kwa Wa-Palestina.
Ukweli ni kuwa mzungu anamchukia Mwafrika kuliko hata Muisrel anavyo mchukia ndugu yake (rejea Abraham/Ibrahim) Mpalestina.
Sichukii Waisrael, lakini Wa-Palestina Wana HAKI ya kuwa na TAIFA lao HURU.
Ebu jikumbushe George Flloyd alivyouwawa na Wazungu kule Marekani.
Nyie Waislamu huwa wajinga sana, yaani kwa akili zako ndogo unadhani Palestina itashinda?Kawaida hiyo.
Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Unashangilia vifo vya wenzenu ngoja itokee na huku kwenu chimba unye kama utashangilia!Kawaida hiyo.