Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kupambana na ugaidi inabidi uwe zaidi ya dikteta.So, Israel nao madikteta kama China na NK ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupambana na ugaidi inabidi uwe zaidi ya dikteta.So, Israel nao madikteta kama China na NK ?
Israel anaenda yasafisha magaidi ya hamas yaliyobakia yamejifisha rafa wapalestina wamekataa kuwa ngao ya magaidi na sasa wanahama kupisha safishasafisha ianzeIsrael wameniudhi sana.Kuwarushia bomu wanasubiri nini?Uongo braza j?
Tuliza msambwanda, hawa habari zao siku zote ni kipaza sauti chacWapalestina. Waende wakapige domo sehemu nyingine.Wewe mjinga wa kiwango cha mwisho huko ndani ya Israel wamepinga hili nikuulize wewe mlokole ulitaka watoe habari gani za Israel?
Tatizo wanaweka uongo zaidi ya ukweli ndio kosa lao tatizo la Uislam sio dhambi kumdanganya asie Muislm... Fuatilia news zao kwa miaka mingi mno wao agenda yao ni kuiponda tu Israel Ujinga huu waliufanya Misri Kuna muandishi alikula miaka mingi bila kushitakiwa.. so ilichofanya Israel ni sawa na imechelewa sana.K
Wa israel sio swala la usalama isipokuwa hicho kituo ndicho pekee knachoonesha kinachoendelea ndani ya Israel Kwa kina CNN na BBC wanafichaficha ,matokeo yake ulimwengu umepata kuifahamu Israel vizuri na uovu wake nakusababisha chuki Kwa wayahudi
Wewe unakimbia ukweli sababu ya ulokole wako, wao wanonesha kinachoendelea lile shirika aliendishwi kiislamu Mimi ni mkristo kwenye ukweli usemwe tuache mahaba ya kilokole, linawatangazaji wadini zote rangi zoteTatizo wanaweka uongo zaidi ya ukweli ndio kosa lao tatizo la Uislam sio dhambi kumdanganya asie Muislm... Fuatilia news zao kwa miaka mingi mno wao agenda yao ni kuiponda tu Israel Ujinga huu waliufanya Misri Kuna muandishi alikula miaka mingi bila kushitakiwa.. so ilichofanya Israel ni sawa na imechelewa sana.
Mwisho nimalizie Aljazeera ni Mashetani
tulia magaidi hamas yatulizwe, uchokozi yaliuanza yenyewe, Mungu ibariki IsraelHzi Sasa ni siasa...evidence zilizo wazi ni zipi??...umeambiwa leta ushahidi wa watoto kukatwa vichwa na wanawake kubakwa halafu unaleta siasa kwmba ushahidi upo wazi ila watu hawataki kuuona....uhalifu wa kivita wa Israel Kila siku unaoneshwa hadharani...watoto walowaua mpk juzi kwny ile hospitali yalipokutwa makaburi ya halaiki ya maiti zingine zimekutwa na Cannula kabisa na watu wanaonesha wanavyofukuliwa na mfadhili wao Marekani anasema ni picha zinazokera na kusikitisha kiuhalisia....ila wao mazayuni wakiambiwa leta ushahidi wanapiga chenga....Dunia inaenda mbele hairudi nyuma...utadanganya kwa muda ila ukweli itajulikana tu....na watu wqmeshaujua ukweli....wanachokifanya ni kutapatapa kwa mwsho tu
unamuita mwenzako mlokole mbona we huitwi mswahilina? We sheikh vipi? Hebu tulia hao magaidi wasafishwe dunia ishangaeWewe mjinga wa kiwango cha mwisho huko ndani ya Israel wamepinga hili nikuulize wewe mlokole ulitaka watoe habari gani za Israel?
acha ujinga kuunga mkono magaidi, al jazeera imekuwa ikurusha chuki dhidi ya israel masaa yote. Israel iifungie mazima hadi wajirekebisheWewe unakimbia ukweli sababu ya ulokole wako, wao wanonesha kinachoendelea lile shirika aliendishwi kiislamu Mimi ni mkristo kwenye ukweli usemwe tuache mahaba ya kilokole, linawatangazaji wadini zote rangi zote
we mswahilina unaona uchungu magaidi maswahilina menzako kusafishwa? Tulia dunia ione ukuu wa israelAisee, mlokole mweusi ni nyani
kwa hiyo hako kaanchi ka watu hata hawifiki milioni 10, kakijifungia kutuoona al jazeera , itasaidia nini ?
Wakati hata atakaye tumia vpn hukohuko israel ataona,
Yaani mnashangilia kama mmetupiwa ndizi kinyaninyani
1. Kila mtu kwenu ni HAMAS Hadi waandamanaji marekani huko. Sitashangaa ghafla Natenyahu naye akijistukia kuwa HAMAS!Hicho kituo huendeshwa na mihemko na chuki za kidini, tupa kule brazaj poleni.
Hiyo Aljazeera unayosema inatumika na maadui waratibu wa vipindi ni Americans kina Kimberley Halkett na kina Teresa Bo.Na ndiyo maana GENTAMYCINE nampenda sana Premier Nentanyahu kwani hana Unafiki, Mbabe na Anajiamini sana.
Kama kawaida. Lawama zote kwa John.Hiyo Aljazeera unayosema inatumika na maadui waratibu wa vipindi ni Americans kina Kimberley Halkett na kina Teresa Bo.
Sijui kama unaelewa unachozungumza!?
Huna exposure katika hili ungeliacha tu litakuaibisha.
Bro hiyo ni lawama au uhalisia!?Kama kawaida. Lawama zote kwa John.