Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

Kuna vitu unatakiwa uelewe.. Kila media ina mlengo wake. Na mtangazaji anakwenda na mlengo wa media vinginevyo uache. Ndio maana hapo nyuma akina Kikeke na zuhura walionekana sio wazalendo kumbe ni kukosa uelewa tu kwetu sisi. Kingine sio kila mwenye jina la Kiingereza au Kizungu chochote ni Mkristu.
Tuachage ubishi wa kitoto.
Hiyo mifano ya kina Kikeke usifananishe na ya Kimberley Halkett.
Kipindi Aljazeera English inaanzishwa 2006 ilianza kufanya vyema 2008 alipokua kiongozi Bourman na huyu ni mzungu.
Pia soma kidogo biografia ya Halkett ni mzaliwa wa Canada na alianza kufanya shughuli za habari Canada na US kabla hajaanza kufanya kazi Aljazeera English.
Inamaana huyu ni mtu na profession yake haumyumbishi wala haumshinikizi.
Maana hata huko alipotoka alikua akilipwa vizuri na akifanya kazi kiuhuru pia.
Na Kimberley Halkett ni mkristu.
Kama unabisha nakueletea biografia ya correspondent mmoja baada ya mwingine subiri hapo hapo.
Screenshot_2024-05-07-11-23-57-20_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-05-07-11-22-42-44_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kuwa mmarekani haimanishi woye wana akiki na mawazo sawa.Amerika kuna waislam swafi,pia kuna misikiti ya mashoga,kuna wakristo safi,pia kuna wakristo mashoga,kuna wanaoamini Mungu,kuna wqpaganai,kuna freemasons,kuna wapigania haki za binadamu,kuna makundi ya mamafia.n.k.
Kiufupi hoja yako ni mufilisi.
Umeongea kwa kukurupuka hukuongea kwa hoja.
Hoja yako ndio dhaifu sio yangu mimi.
Nakuletea mfano wa Kimberley Halkett huyu mzaliwa wa Canada na amefanya kazi ikulu ya White house na Canada pia.
Ila baadae akaenda Aljazeera English.
Tizama biografia ya huyu mtu na ujiite MPUMBAVU.
Na huyu ni Mkristo na kafanya kazi WHITE HOUSE pia hata ikulu ya Canada alifanya kazi kesha kahamia Aljazeera.
Usilete taarabu leta facts bro.
Screenshot_2024-05-07-11-23-57-20_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-05-07-11-22-42-44_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Tuachage ubishi wa kitoto.
Hiyo mifano ya kina Kikeke usifananishe na ya Kimberley Halkett.
Kipindi Aljazeera English inaanzishwa 2006 ilianza kufanya vyema 2008 alipokua kiongozi Bourman na huyu ni mzungu.
Pia soma kidogo biografia ya Halkett ni mzaliwa wa Canada na alianza kufanya shughuli za habari Canada na US kabla hajaanza kufanya kazi Aljazeera English.
Inamaana huyu ni mtu na profession yake haumyumbishi wala haumshinikizi.
Maana hata huko alipotoka alikua akilipwa vizuri na akifanya kazi kiuhuru pia.
Na Kimberley Halkett ni mkristu.
Kama unabisha nakueletea biografia ya correspondent mmoja baada ya mwingine subiri hapo hapo.View attachment 2983188View attachment 2983189
Hakuna anaebishana na wewe. Labda wewe ndio unapenda kubishana. Sio kila mwenye jina la Kiingereza au Kizungu ni Mkristu, hii ni fact na sio kwa huyo individual ulieamua kustick nae, wala sijamsoma kwasababu huyo ni mmoja katika mamilioni ya Wazungu. Sibishani hapa kama kubishana nakupa ushindi.
 
Pia mimi sibishani bali ninasadikisha kuwa wanaofanya kazi Aljazeera wenye hayo majina ni wakristo.
Hapa nazungumzia wanaofanya kazi Aljazeera wenye majina ya kizungu ni wakristo na ni asili ya huko huko uzunguni.
👆👆👆👆point yangu iko hapa mkuu usiende kwingine ambako sikuzungumzii.
 
AJ,CNN,BBC zote zina mlengo wake, hivyo uwe Mzungu,Mwarabu.Mchina,Mbongo utapita humo vinginevyo utatoka.
 
Kuwa mmarekani haimanishi woye wana akiki na mawazo sawa.Amerika kuna waislam swafi,pia kuna misikiti ya mashoga,kuna wakristo safi,pia kuna wakristo mashoga,kuna wanaoamini Mungu,kuna wqpaganai,kuna freemasons,kuna wapigania haki za binadamu,kuna makundi ya mamafia.n.k.
Kiufupi hoja yako ni mufilisi.
Msome na Teresa Bo aliyeanza kufanya news coverage South America kabla hajaenda kufanya kazi Aljazeera English.
Nataka nikuoneshe kuwa wanaofanya kazi Aljazeera English ni PROFESSIONALS AMBAO WENGI WASOMI WAKUBWA na wana TUZO ZA KIMATAIFA NA KITAIFA ZA UANDISHI WA HABARI.
Screenshot_2024-05-07-11-36-18-85_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-05-07-11-35-38-67_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
AJ,CNN,BBC zote zina mlengo wake, hivyo uwe Mzungu,Mwarabu.Mchina,Mbongo utapita humo vinginevyo utatoka.
Kaka tusikariri maisha kisa CNN ipo hivi basi na vyombo vingine vipo hivyo hivyo.
Hao unaowaona wamekuja kufanya kazi Aljazeera wengi wao wameombwa hawakupeleka maombi ya kazi.
Sio kitu rahisi umtoe mtu ambaye ni correspondent wa white house akafanye kazi uarabuni na akubali.
Just think about that usiwe na fikra mgando.
Ova.
 
Sawa hayo ni maoni yako ila Israel iliyoteseka na mauaji yaliyofanywa na Hamas October kwa wanawake kubakwa, watoto kuuwawa, na wageni kibao kuuwawa wakiwamo watanzania inasema imeifungia Aljazeera maana iko biased, na ni mdomo wa kusemea wa Hamas na hivyo inahatarisha usalama wa nchi.
Usisahau ushahidi wa kubakwa watoto Israel waliambiwa wauwasilishe na wakaukosa.
Usisahau kuwa Israel ndio ilianza kuchoma mashamba ya wabedui huko Jenin na kuvunja nyumba wakiwa na jewish settlers mwezi August.
Alichofanya Hamas ni retaliation msipende kujisahaulisha.
Na ni kweli kuwa CNN,BBC na France24 wanaficha habari za Gaza wala sio uongo.
Chombo pekee kilichokua kikitangaza ni Aljazeera English,kama hufahamu Aljazeera English imewahi/imepokea tuzo ya Peabody award kwa kufanya news coverage.
Sasa chombo chenye bias kinapokeaje tuzo ya kimataifa tena tuzo ilioanzishwa na MMAREKANI!?
Embu kabla hamjaongea pimieni kauli zenu.
 
Kwa kifupi tu soma hapo chini japo najua utapinga kilichoandikwa maana kuna upande unautetea kindakindaki kwa hiyo hata baada ya kusoma endelea kupinga na kukataa uovu wa hamas.

Israel Gaza: Hamas raped and mutilated women on 7 October, BBC hears​

A UN envoy says there are ‘reasonable grounds’ to believe Hamas committed sexual violence on Oct. 7
Habari ulizoleta kwanza ya BBC haikuwa confirmed na ikavunjiliwa mbali habari kuonekana ya uongo kwasababu hakukuwa na ushahidi kamili.
Pili hiyo ya UN hizo ni assumptions kuwa kuna uwezekano wa kuamini ila kesi ilipopelekwa ICJ IDF/Israel ikakosa ushahidi,kama ushahidi ungepatikana basi hukumu ingetoka kwa Hamas na viongozi wake,ilikua kwa kesi hiyo Hamas itambulike kuwa kundi la kigaidi ila kwa kukosa ushahidi mataifa yakagoma kuitambua Hamas kama terrorist organisation.
Ushahidi haukupatikana mzee hizo assumps tu hasa za BBC.
 
Kaka tusikariri maisha kisa CNN ipo hivi basi na vyombo vingine vipo hivyo hivyo.
Hao unaowaona wamekuja kufanya kazi Aljazeera wengi wao wameombwa hawakupeleka maombi ya kazi.
Sio kitu rahisi umtoe mtu ambaye ni correspondent wa white house akafanye kazi uarabuni na akubali.
Just think about that usiwe na fikra mgando.
Ova.
Mwenye fikra mgando hapa ni wewe iko wazi. Ngoja nikuache tu uko sahihi kabisa.
 
Usisahau ushahidi wa kubakwa watoto Israel waliambiwa wauwasilishe na wakaukosa.
Usisahau kuwa Israel ndio ilianza kuchoma mashamba ya wabedui huko Jenin na kuvunja nyumba wakiwa na jewish settlers mwezi August.
Alichofanya Hamas ni retaliation msipende kujisahaulisha.
Na ni kweli kuwa CNN,BBC na France24 wanaficha habari za Gaza wala sio uongo.
Chombo pekee kilichokua kikitangaza ni Aljazeera English,kama hufahamu Aljazeera English imewahi/imepokea tuzo ya Peabody award kwa kufanya news coverage.
Sasa chombo chenye bias kinapokeaje tuzo ya kimataifa tena tuzo ilioanzishwa na MMAREKANI!?
Embu kabla hamjaongea pimieni kauli zenu.
Wabongo hasa walokole ni weupe sana kichwani wala usibishane nao
 
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa.

"Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera itafungwa nchini Israel," Netanyahu alichapisha kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kura hiyo ya baraza la mawaziri
=====

Prime Minister Benjamin Netanyahu's cabinet decided on Sunday to shut down Al Jazeera's operations in Israel for as long as the war in Gaza continues, on the grounds the Qatari television network threatens national security.

"The incitement channel Al Jazeera will be closed in Israel," Netanyahu posted on social media following the unanimous cabinet vote.

A government statement said Israel's communications minister signed orders to "act immediately," but at least one lawmaker who supported the closure said Al Jazeera could still try to block it in court.

The measure, the statement said, will include closing Al Jazeera's offices in Israel, confiscating broadcast equipment, cutting off the channel from cable and satellite companies and blocking its websites.

The network is funded by the Qatari government and has been fiercely critical of Israel's military operation in Gaza, from where it has reported around the clock throughout the war.

The Israeli statement did not mention Al Jazeera's Gaza operations.

Israel's parliament last month ratified a law allowing the temporary closure in Israel of foreign broadcasters considered to be a threat to national security.

Al Jazeera made no immediate comment on Sunday, although it has previously rejected accusations that it was a threat to Israel's security and said the shutdown was an effort to silence it.

The law allows Netanyahu and his security cabinet to shut the network's offices in Israel for 45 days, a period that can be renewed, so it could stay in force until the end of July or until the end of major military operations in Gaza.

Qatar, which hosts Hamas leaders, is trying to mediate a ceasefire and hostage release deal that could halt the Gaza war.

====

Pia Soma: Israel yamuua mtoto wa Mwandishi wa Al jazeera Hamza Al Dahdouh

Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo
Je unajua kuwa Israel siyo nchi ya kwanza mashariki ya kati kupiga marufuku al Jazeera kuchukua habari ndani ya nchi zao?
Kuwait, Algeria, Bahrain, Egypt, UAE, Jordan na Iraq ziliisha ipigaga marufuku kwa sababu ya kujihusisha na magaidi waislamu

View: https://youtu.be/0kUZuUKJWdQ?si=2XGHK0kGyy9scy5u
 
Back
Top Bottom