vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Tulishasema aljazeera ni chombo cha kidini full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini uko wapi?Tulishasema aljazeera ni chombo cha kidini full stop
Hakika Ila saivi wanataka kumfungulia kesi icckwani
Huwa nafurahi sana Kukutana na Masikini wa Akili kama Wewe hapa JamiiForums.Hiyo Aljazeera unayosema inatumika na maadui waratibu wa vipindi ni Americans kina Kimberley Halkett na kina Teresa Bo.
Sijui kama unaelewa unachozungumza!?
Huna exposure katika hili ungeliacha tu litakuaibisha.
Na ndiyo maana GENTAMYCINE nampenda sana Premier Nentanyahu kwani hana Unafiki, Mbabe na Anajiamini sana.
Ndiyo maana GENTAMYCINE nimefurahi sana Israel walivyowafungia kwani Aljazeera ni Wanafiki na wanaichukia Israel.Siyo chuki na Israel tu wana chuki na yeyote asiye Muislam na asiye mwarabu, wao kila siku ni kukosoa nchi za wazungu, wayahudi, wakristo na wahindu, ila uovu wa tawala za nchi za waarabu na waislam, kimya hawakosoi. Israel ingeweza ingepiga bomu kabisa kituo cha aina hiyo ni adui zao kivita.
Hiyo aljazeera unayosema wanaoripoti hizo habari ni wakristo wenzenu kina Kimberley halkett.Siyo chuki na Israel tu wana chuki na yeyote asiye Muislam na asiye mwarabu, wao kila siku ni kukosoa nchi za wazungu, wayahudi, wakristo na wahindu, ila uovu wa tawala za nchi za waarabu na waislam, kimya hawakosoi. Israel ingeweza ingepiga bomu kabisa kituo cha aina hiyo ni adui zao kivita.
Huna lolote wewe.Huwa nafurahi sana Kukutana na Masikini wa Akili kama Wewe hapa JamiiForums.
Sawa Masikini wa Akili umesikika.Huna lolote wewe.
Mfinyu wa fikra kama wewe hujiona una akili kuliko wenzako,ila kichwani ni mweupe.
Sawa MFINYU WA FIKRA(POPOMA) uwe na asubuhi njema.Sawa Masikini wa Akili umesikika.
Sawa nimekusikia MASIKINI WA AKILI nawe uwe na Siku Njema pia.Sawa MFINYU WA FIKRA(POPOMA) uwe na asubuhi njema.
Kuna vitu unatakiwa uelewe.. Kila media ina mlengo wake. Na mtangazaji anakwenda na mlengo wa media vinginevyo uache. Ndio maana hapo nyuma akina Kikeke na zuhura walionekana sio wazalendo kumbe ni kukosa uelewa tu kwetu sisi. Kingine sio kila mwenye jina la Kiingereza au Kizungu chochote ni Mkristu.Hiyo aljazeera unayosema wanaoripoti hizo habari ni wakristo wenzenu kina Kimberley halkett.
Pia usisahau ALjazeera imeshinda PEABODY AWARD hii ni tuzo ya kimataifa ya chombo cha habari kufanya historical news coverage na hii tuzo imeanzishwa na Mmarekani George Peabody.
Kuwa mmarekani haimanishi woye wana akiki na mawazo sawa.Amerika kuna waislam swafi,pia kuna misikiti ya mashoga,kuna wakristo safi,pia kuna wakristo mashoga,kuna wanaoamini Mungu,kuna wqpaganai,kuna freemasons,kuna wapigania haki za binadamu,kuna makundi ya mamafia.n.k.Hiyo Aljazeera unayosema inatumika na maadui waratibu wa vipindi ni Americans kina Kimberley Halkett na kina Teresa Bo.
Sijui kama unaelewa unachozungumza!?
Huna exposure katika hili ungeliacha tu litakuaibisha.
Akhsante sana kwa kunisadia Kunielimishia huyo Juha / Masikini wa Akili Mkuu. Mimi nilishamdharau Kitamba sana tu.Kuna vitu unatakiwa uelewe.. Kila media ina mlengo wake. Na mtangazaji anakwenda na mlengo wa media vinginevyo uache. Ndio maana hapo nyuma akina Kikeke na zuhura walionekana sio wazalendo kumbe ni kukosa uelewa tu kwetu sisi. Kingine sio kila mwenye jina la Kiingereza au Kizungu chochote ni Mkristu.
Akhsante sana kwa kunisadia Kunielimishia huyo Juha / Masikini wa Akili Mkuu. Mimi nilishamdharau Kitamba sana tu.Kuwa mmarekani haimanishi woye wana akiki na mawazo sawa.Amerika kuna waislam swafi,pia kuna misikiti ya mashoga,kuna wakristo safi,pia kuna wakristo mashoga,kuna wanaoamini Mungu,kuna wqpaganai,kuna freemasons,kuna wapigania haki za binadamu,kuna makundi ya mamafia.n.k.
Kiufupi hoja yako ni mufilisi.
Anayewachukia Wayahudi hana Akili na hata kwake Mwenyezi Mungu hatopata Baraka. Long Live Israel na Wayahudi.Kwa kuwa hicho kituo cha luninga kinahatarisha usalama wa Israel kipigwe ban ya kudumu hadi pale kitakapojirekebisha