Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

Tuachage ubishi wa kitoto.
Hiyo mifano ya kina Kikeke usifananishe na ya Kimberley Halkett.
Kipindi Aljazeera English inaanzishwa 2006 ilianza kufanya vyema 2008 alipokua kiongozi Bourman na huyu ni mzungu.
Pia soma kidogo biografia ya Halkett ni mzaliwa wa Canada na alianza kufanya shughuli za habari Canada na US kabla hajaanza kufanya kazi Aljazeera English.
Inamaana huyu ni mtu na profession yake haumyumbishi wala haumshinikizi.
Maana hata huko alipotoka alikua akilipwa vizuri na akifanya kazi kiuhuru pia.
Na Kimberley Halkett ni mkristu.
Kama unabisha nakueletea biografia ya correspondent mmoja baada ya mwingine subiri hapo hapo.
 
Umeongea kwa kukurupuka hukuongea kwa hoja.
Hoja yako ndio dhaifu sio yangu mimi.
Nakuletea mfano wa Kimberley Halkett huyu mzaliwa wa Canada na amefanya kazi ikulu ya White house na Canada pia.
Ila baadae akaenda Aljazeera English.
Tizama biografia ya huyu mtu na ujiite MPUMBAVU.
Na huyu ni Mkristo na kafanya kazi WHITE HOUSE pia hata ikulu ya Canada alifanya kazi kesha kahamia Aljazeera.
Usilete taarabu leta facts bro.
 
Hakuna anaebishana na wewe. Labda wewe ndio unapenda kubishana. Sio kila mwenye jina la Kiingereza au Kizungu ni Mkristu, hii ni fact na sio kwa huyo individual ulieamua kustick nae, wala sijamsoma kwasababu huyo ni mmoja katika mamilioni ya Wazungu. Sibishani hapa kama kubishana nakupa ushindi.
 
Pia mimi sibishani bali ninasadikisha kuwa wanaofanya kazi Aljazeera wenye hayo majina ni wakristo.
Hapa nazungumzia wanaofanya kazi Aljazeera wenye majina ya kizungu ni wakristo na ni asili ya huko huko uzunguni.
👆👆👆👆point yangu iko hapa mkuu usiende kwingine ambako sikuzungumzii.
 
AJ,CNN,BBC zote zina mlengo wake, hivyo uwe Mzungu,Mwarabu.Mchina,Mbongo utapita humo vinginevyo utatoka.
 
Msome na Teresa Bo aliyeanza kufanya news coverage South America kabla hajaenda kufanya kazi Aljazeera English.
Nataka nikuoneshe kuwa wanaofanya kazi Aljazeera English ni PROFESSIONALS AMBAO WENGI WASOMI WAKUBWA na wana TUZO ZA KIMATAIFA NA KITAIFA ZA UANDISHI WA HABARI.
 
AJ,CNN,BBC zote zina mlengo wake, hivyo uwe Mzungu,Mwarabu.Mchina,Mbongo utapita humo vinginevyo utatoka.
Kaka tusikariri maisha kisa CNN ipo hivi basi na vyombo vingine vipo hivyo hivyo.
Hao unaowaona wamekuja kufanya kazi Aljazeera wengi wao wameombwa hawakupeleka maombi ya kazi.
Sio kitu rahisi umtoe mtu ambaye ni correspondent wa white house akafanye kazi uarabuni na akubali.
Just think about that usiwe na fikra mgando.
Ova.
 
Usisahau ushahidi wa kubakwa watoto Israel waliambiwa wauwasilishe na wakaukosa.
Usisahau kuwa Israel ndio ilianza kuchoma mashamba ya wabedui huko Jenin na kuvunja nyumba wakiwa na jewish settlers mwezi August.
Alichofanya Hamas ni retaliation msipende kujisahaulisha.
Na ni kweli kuwa CNN,BBC na France24 wanaficha habari za Gaza wala sio uongo.
Chombo pekee kilichokua kikitangaza ni Aljazeera English,kama hufahamu Aljazeera English imewahi/imepokea tuzo ya Peabody award kwa kufanya news coverage.
Sasa chombo chenye bias kinapokeaje tuzo ya kimataifa tena tuzo ilioanzishwa na MMAREKANI!?
Embu kabla hamjaongea pimieni kauli zenu.
 
Habari ulizoleta kwanza ya BBC haikuwa confirmed na ikavunjiliwa mbali habari kuonekana ya uongo kwasababu hakukuwa na ushahidi kamili.
Pili hiyo ya UN hizo ni assumptions kuwa kuna uwezekano wa kuamini ila kesi ilipopelekwa ICJ IDF/Israel ikakosa ushahidi,kama ushahidi ungepatikana basi hukumu ingetoka kwa Hamas na viongozi wake,ilikua kwa kesi hiyo Hamas itambulike kuwa kundi la kigaidi ila kwa kukosa ushahidi mataifa yakagoma kuitambua Hamas kama terrorist organisation.
Ushahidi haukupatikana mzee hizo assumps tu hasa za BBC.
 
Mwenye fikra mgando hapa ni wewe iko wazi. Ngoja nikuache tu uko sahihi kabisa.
 
Wabongo hasa walokole ni weupe sana kichwani wala usibishane nao
 
Je unajua kuwa Israel siyo nchi ya kwanza mashariki ya kati kupiga marufuku al Jazeera kuchukua habari ndani ya nchi zao?
Kuwait, Algeria, Bahrain, Egypt, UAE, Jordan na Iraq ziliisha ipigaga marufuku kwa sababu ya kujihusisha na magaidi waislamu

View: https://youtu.be/0kUZuUKJWdQ?si=2XGHK0kGyy9scy5u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…