Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

Tangu vita vianze ni kiongozi yupi ya kiyahudi aliyeuawa? ila kwa upande mwingine hawahesabiki. Myahudi akimalizana na mtu haongei sana.
 
Tangu vita vianze ni kiongozi yupi ya kiyahudi aliyeuawa? ila kwa upande mwingine hawahesabiki. Myahudi akimalizana na mtu haongei sana.
Kuuawa kwa viongozi hasimu je kulizuia vita zisiendelee!?
Vita ziliendelea na makundi hasimu bado yapo na Iran bado inawafadhili silaha.
Badala yake Israel ni miongoni mwa unsafe nations ulimwenguni.
Raia zaidi ya laki tatu wameikimbia nchi na hawajui kama watarudi.
 
Kwani anayelalamika ni nani? Je, waafrika wenye asili ya Israeli wangapi wanaotaka kurudi 'kwao' Israeli wakati kule ni 'unsafe' kama ulivyosema?
 
Kwani anayelalamika ni nani? Je, waafrika wenye asili ya Israeli wangapi wanaotaka kurudi 'kwao' Israeli wakati kule ni 'unsafe' kama ulivyosema?
Hivi unatizama habari ndugu!?
Embu katizame habari halafu uone kama nyakati hizi kuna anayetaka kurudi hapo Israel awe mweupe ama mweusi.
 
Lkn Israel ikashindwa kujua Hamas watawavamia leo miez 14 Hamas bado wapo na mateka wanaenda chooni kwa isani ya Hamas.
 
Tangu vita vianze ni kiongozi yupi ya kiyahudi aliyeuawa? ila kwa upande mwingine hawahesabiki. Myahudi akimalizana na mtu haongei sana.
Shida IDF asemi kweli wakifa makamanda wake. Tofaut na upande kinzan nawao.
 
Kwa sasa vita vimeisha, kinachoendelea ni safisha kuondoa makapi yaliyosalia. Israel kuwa unsafe ni moja ya maagizo na mission ya uislam kuhakikisha kila mahali panakuwa unsafe. Hata Somalia, north Nigeria mission ni moja.
 
Basi utuambie wewe wamekufa wangapi na majina yao na akina nani?
Mbona wengi tu naanza na yule kuku mkubwa tangu imesemekana kauwawa kwenye shambuliz na hezbollah aja onekana adin leo na uyo mwamba ilikuwa kila kikao na lazima awepo pemben ya Netanyahu pengine ndio mtu mwenye cheo kikubwa kuuwawa wkt inotolewa orodha na iran ya watu ndani ya Israel wanaotakiwa kuuwawa uyu jamaa alishauwawa na ktk iyo orodha pia akuwepo. Mwenye picha ya yule kamanda atusaidie kutupia apa shida nyengine IDF inafuta picha za wafu wao lkn za wapinzani wao ndio utakuta zimejaa kwenye mitandao kaka Kasugi mzee wa maktaba tusaidie kwenye ili uyu zwazwa atulie. Naami makamanda wa unit wengi tu wameuwawa..
 
Punguwan waheed.
 
Kaka Adiosamigo kama unapicha za makamanda wa IDF waliokufa tusaidie tuma tuwakumbushe awa mana hii mijamaa miongo miongo itadai akuna viongozi muimu wa jesh adi sasa wamekufa kwenye IDF
 
Punguwan waheed.
Punguani mm au ww na wizara ya vita ya Israel iloipitisha sheria ya kuzuiya Taharifa yoyote isiotolewa nawao!! Wasingepitisha sheria ikiwa wao Awafi au awapigwi kama ujuavyo ww zuzu umejua ya wengine ni vile wao awazuii Habari vita. Tofauti na Israel au IDF.
 
Ama unajitoa akili ukumbuki kuwa Israel Wamepitisha sheria iyo na ata wanawauwa waisrael wwnzao wanaotoa Taharifa za mahafa kwao. Ndiomana unasikia tu wameumia kucha watu watatu au kambi za Jesh zinapigwa na missile 200 lkn unasmbiwa akuna mfu wala majerui mana izo kambi azikuwa na watu kabisa 0 akili kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…