Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

Usitudanganye wewe acha uongo.
Rais wa Iran hakuuliwa na Israel.
Pia usijisahaulishe kuwa Iran ilifanya mashambulizi mawili ya visasi dhidi ya Israel ndani ya ardhi ya Israel.
Usisahau miji ya Israel ilichakazwa kwa makombora ya Iran.
Sasa jiulize,kuuawa tu kwa kamanda wa Iran,Iran imerusha makombora zaidi ya 200 na yakapenya na kuleta madhara,je ukimuua kiongozi wao wa dini kitakukuta nini!??
Tena Israel yenyewe kuzuia hayo mashambulizi mataifa makubwa yalihusika France,Uk na USA.
Ikionesha Israel dhaifu isingeweza kuhimili mashambulizi yenyewe.
Kaa litafakari hilo,katika assassination zote kwanini hukuwahi kusikia kiongozi wa dini Iran hajauliwa.
Jikute una akili kuliko myahudi.
Tangu vita vianze ni kiongozi yupi ya kiyahudi aliyeuawa? ila kwa upande mwingine hawahesabiki. Myahudi akimalizana na mtu haongei sana.
 
Tangu vita vianze ni kiongozi yupi ya kiyahudi aliyeuawa? ila kwa upande mwingine hawahesabiki. Myahudi akimalizana na mtu haongei sana.
Kuuawa kwa viongozi hasimu je kulizuia vita zisiendelee!?
Vita ziliendelea na makundi hasimu bado yapo na Iran bado inawafadhili silaha.
Badala yake Israel ni miongoni mwa unsafe nations ulimwenguni.
Raia zaidi ya laki tatu wameikimbia nchi na hawajui kama watarudi.
 
Kwani anayelalamika ni nani? Je, waafrika wenye asili ya Israeli wangapi wanaotaka kurudi 'kwao' Israeli wakati kule ni 'unsafe' kama ulivyosema?
 
Kwani anayelalamika ni nani? Je, waafrika wenye asili ya Israeli wangapi wanaotaka kurudi 'kwao' Israeli wakati kule ni 'unsafe' kama ulivyosema?
Hivi unatizama habari ndugu!?
Embu katizame habari halafu uone kama nyakati hizi kuna anayetaka kurudi hapo Israel awe mweupe ama mweusi.
 
Nani alimuunga mkono nani!?
Hata mimi sibishani mkuu nakuasa rudi kasome upya.
Vita ya six days war Misri alijiandaa kijeshi na Syria ili kushambulia Israel kwa kushtukiza.
Israel ikapata intel kuwa Misri imenunua fighter jets pamoja na attacking helicopters 200+ kutoka Soviet/Russia pale Sinai Peninsula ikijiandaa na uvamizi dhidi ya Israel.
Israel ndio ikawahi ku press button kwa mashambulizi ya anga.
Nakusihi kasome tena kwa umakini.
Hakukuwa na confrontation bali kulikua na Israel kushambulia Misri na Syria.
Uwe na jioni njema mkuu.
Lkn Israel ikashindwa kujua Hamas watawavamia leo miez 14 Hamas bado wapo na mateka wanaenda chooni kwa isani ya Hamas.
 
Tangu vita vianze ni kiongozi yupi ya kiyahudi aliyeuawa? ila kwa upande mwingine hawahesabiki. Myahudi akimalizana na mtu haongei sana.
Shida IDF asemi kweli wakifa makamanda wake. Tofaut na upande kinzan nawao.
 
Kila article unaleta tu mkuu.
Kwasasa sitabishana na wewe nakaa nikitulia nitakuletea mkanda mzima wa six days war.
Screenshot_2024-12-27-22-19-00-908_com.android.chrome.jpg
 
Kuuawa kwa viongozi hasimu je kulizuia vita zisiendelee!?
Vita ziliendelea na makundi hasimu bado yapo na Iran bado inawafadhili silaha.
Badala yake Israel ni miongoni mwa unsafe nations ulimwenguni.
Raia zaidi ya laki tatu wameikimbia nchi na hawajui kama watarudi.
Kwa sasa vita vimeisha, kinachoendelea ni safisha kuondoa makapi yaliyosalia. Israel kuwa unsafe ni moja ya maagizo na mission ya uislam kuhakikisha kila mahali panakuwa unsafe. Hata Somalia, north Nigeria mission ni moja.
 
Basi utuambie wewe wamekufa wangapi na majina yao na akina nani?
Mbona wengi tu naanza na yule kuku mkubwa tangu imesemekana kauwawa kwenye shambuliz na hezbollah aja onekana adin leo na uyo mwamba ilikuwa kila kikao na lazima awepo pemben ya Netanyahu pengine ndio mtu mwenye cheo kikubwa kuuwawa wkt inotolewa orodha na iran ya watu ndani ya Israel wanaotakiwa kuuwawa uyu jamaa alishauwawa na ktk iyo orodha pia akuwepo. Mwenye picha ya yule kamanda atusaidie kutupia apa shida nyengine IDF inafuta picha za wafu wao lkn za wapinzani wao ndio utakuta zimejaa kwenye mitandao kaka Kasugi mzee wa maktaba tusaidie kwenye ili uyu zwazwa atulie. Naami makamanda wa unit wengi tu wameuwawa..
 
Punguwan waheed.
 
Kaka Adiosamigo kama unapicha za makamanda wa IDF waliokufa tusaidie tuma tuwakumbushe awa mana hii mijamaa miongo miongo itadai akuna viongozi muimu wa jesh adi sasa wamekufa kwenye IDF
 
Punguwan waheed.
Punguani mm au ww na wizara ya vita ya Israel iloipitisha sheria ya kuzuiya Taharifa yoyote isiotolewa nawao!! Wasingepitisha sheria ikiwa wao Awafi au awapigwi kama ujuavyo ww zuzu umejua ya wengine ni vile wao awazuii Habari vita. Tofauti na Israel au IDF.
 
Ama unajitoa akili ukumbuki kuwa Israel Wamepitisha sheria iyo na ata wanawauwa waisrael wwnzao wanaotoa Taharifa za mahafa kwao. Ndiomana unasikia tu wameumia kucha watu watatu au kambi za Jesh zinapigwa na missile 200 lkn unasmbiwa akuna mfu wala majerui mana izo kambi azikuwa na watu kabisa 0 akili kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom