Usitudanganye wewe acha uongo.
Rais wa Iran hakuuliwa na Israel.
Pia usijisahaulishe kuwa Iran ilifanya mashambulizi mawili ya visasi dhidi ya Israel ndani ya ardhi ya Israel.
Usisahau miji ya Israel ilichakazwa kwa makombora ya Iran.
Sasa jiulize,kuuawa tu kwa kamanda wa Iran,Iran imerusha makombora zaidi ya 200 na yakapenya na kuleta madhara,je ukimuua kiongozi wao wa dini kitakukuta nini!??
Tena Israel yenyewe kuzuia hayo mashambulizi mataifa makubwa yalihusika France,Uk na USA.
Ikionesha Israel dhaifu isingeweza kuhimili mashambulizi yenyewe.
Kaa litafakari hilo,katika assassination zote kwanini hukuwahi kusikia kiongozi wa dini Iran hajauliwa.
Jikute una akili kuliko myahudi.