gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali