Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Th
Thanks, hata mimi ufatilia sana comments za Scott Ritter pamoja na brilliant comments za retired Col. Douglas McGregor hawa jamaa ni wachambuzi wa uhakika wa masuala ya Military pamoja na masuala ya Geopolitics na kizuri zaidi hawako biased hata kidogo, they call a spade a spade and not anything in between, oh yes Ukiwafatilia kwa karibu utajifunza mengi. Shukrani for the info all the same.Nilikua namsikiliza Scott Ritter mchambuzi wa masuala ya kivita na former US marine corps intelligence officer, alisema kwamba Russia inaishambulia Ukraine si kuivunja na kuiharibu, wanaitaka in one piece sio iwe imevunjika vipande vipande...
Nadhani ni kwa sababu wana malengo nayo hasa katika masuala ya kiuchumi, Russia ina uwezo mkubwa wa makombora kuliko Israel, kuanzia technology ya missiles , technology ya ndege vita, silaha n.k...
Hivyo Russia wangekuwa vichwa maji, wangekuwa wanaendeshwa na chuki, ugaidi kama ilivyo Israel basi wangeishambulia Ukraine katika nguvu ambayo dunia haikuwahi kushuhudia....
Hivyo Russia inatumia sehemu ndogo ya nguvu yake kukabilianana Ukraine huku ikiwa makini kuchukua tahadhari na hatua zozote za kijeshi endapo nchi za NATO zitamvamia... naamini kuna silaha Russia hawajatumia... maana ile oreshnik ilipopigwa hadi NATO waliweka kibunge kujadili kile kilikuwa ni kitu gani maana hawakuwahi kuona...