Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

Tetesi Habari za intelijensia za ndani kabisa => Israel kajipanga kweli kweli, ataipiga Iran kwa Satellite Laser Weapon na kukausha kila kitu huko Tehran vya kijeshi, na sehemu maalum za kijeshi huko Iran, hasa kwa kutumia viumbe wasionekana, hivyo Iran itapigwa kwa mshtuko mkubwa bila kujua nini kimewapiga, na huo ndio utakuwa mwisho wa Utawala wa Ayatollaah, ngoja tuone sbb Trump atawapa ruhusa lazima na Russia haitasaidia Iran hata kidogo.
Conspiracy theory bado mpo wajinga wa kuamini huo uwezo wa israel??Kwenye 12 days alishindwa nini?
 
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran

Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali

View attachment 3453867View attachment 3453869
Huyu jamaa kinamuwashaga sana😂😂😂.
Ajitizame anaenda kuiangamiza nchi ya Israel kwa upuuzi wake wa kuendekeza ubabe usio na manufaa.
Waajemi wameshayachoka maisha wale hawahofii kifo.
Madhara ya vita ya June hayajarekebishika anataka kuibua mengine tena.
 
Lini mmeshawahi kuiangamiza israel?🤣🤣
 
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran

Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali

View attachment 3453867View attachment 3453869
Hao makamanda huwa wanadunguliwa siku ya kwanza tu ya vita
 
Iran right now!

tenor.gif
 
Israel wamuache Ayatollah apone pressure yake kwanza. Watamuua huyu mzee.
Kataifa kadogo ambako hakafiki hata nusu ya Iran ila kanapeleka moto vibaya.
Vita vya majuzi vya siku 12 ulikuwa hujazaliwa wakati Mazayuni wanaomba ceasefire kwa kipigo kitakatifu?

Ayatollah anakwambia katika masuala ya kivita umri wake ni mzee ila roho yake ni kama ya kijana wa miaka 20 anayetamani na asiyeogopa vita.
 
Tuache utani kile kipigo alichotoa Iran ni mwana UKOME.
 
Back
Top Bottom