Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

Tuache utani kile kipigo alichotoa Iran ni mwana UKOME.
Binafsi nimeshukuru sana Mwenyezi Mungu kunileta duniani zama hizi ambapo nimeshuhudia na kujiridhisha pasipo shaka kwamba propaganda za miaka mingi kwamba Israel ana nguvu kumbe ni uongo mtupu.

Kipigo kile hakitasahaulika kwa Mazayuni na mpaka leo wapo Mazayuni waliokimbia nchi hawajarejea kwenye nchi uchwara ya ahadi.
 
Vita vya majuzi vya siku 12 ulikuwa hujazaliwa wakati Mazayuni wanaomba ceasefire kwa kipigo kitakatifu?

Ayatollah anakwambia katika masuala ya kivita umri wake ni mzee ila roho yake ni kama ya kijana wa miaka 20 anayetamani na asiyeogopa vita.
Vile vita ambavyo Tehran ilipigwa na vinu vya nyuklia kushambuliwa!!!
Vile vita vya siku 12 ambavyo Ayatollah akakimbia kujicha pangoni!??!!
Vile vita ambavyo Israel amua viongozi wa juu wa jeshi la Irani pamoja na wanasayansi!!!!
AIbu kubwa kwa taifa kama Irani kupigwa kiasi kile na kataifa kadogo kama Isreal.
ule umwamba wa kwamba Iran huguswi kushnei.
Mbaya zaidi wanaopeleka moto ni wadada kwenye zile ndege😁😁😁😁
 
Omba wewe ruhusa ya kuishambulia Israeli halafu upewe hiyo ruhusa tuone kama utaishambulia.
Hapa issue siyo ruhusa, ni uwezo maana Israeli akiishambulia Iran, Iran anaweza kulipiza kisasi kwa kushambulia kambi za US. Lazima US ajue na akae tayari kwa lolote.
Akili kubwa imeongea hapa. Sio ushabiki usiona na msingi. Kudos brother.
 
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran

Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali

View attachment 3453867View attachment 3453869
R.I.P mzayuni feki
 
Iyo kuomba ruhusa yoote ni woga uliopitiliza, CIA aliyetoa siri ya mashambulio makali kutoka Iran dhidi ya Israel na kwenye kambi za Marekani zile siku 12 za hivi karibuni amefukuzwa kazi wiki iliyopita
 
Israel is heading to its self destruction through the most idiotic coward Netanyahu. This time the entire Israel will flee to Europe. Sijajua wajinga kama hàwa wanaingiaje madarakani. Kwa sababu nina wasiwasi kama Netanyahu ni binadamu au ni jini mladamu ya watu, maana last time alichezea kipigo kitamu na damu za kutosha za waisraeli zilimwagika. Let him play with fire to burn his finger properly.
 
Uongo na Upotoshaji ndiyo sera na mnaita Taqiyyah ili kuficha au kufifisha uwezo au takwa la Israel. Nchi hiyo haiombi kuishambulia nchi ambayo kwayo inaonekana na tishio kwa salama wake.

Kitu kinachofanyika ni kutoa taarifa tu kwa washirika wapata taarifa cha nini kinachoendelea tatizo linakuja kwa waarabu-koko kuanza upotoshaji na uongo. Hata hivyo hakutapunguza au kuondoka kipigo atakachopata Mlengwa!!
 
Israel is heading to its self destruction through the most idiotic coward Netanyahu. This time the entire Israel will flee to Europe. Sijajua wajinga kama hàwa wanaingiaje madarakani. Kwa sababu nina wasiwasi kama Netanyahu ni binadamu au ni jini mladamu ya watu, maana last time alichezea kipigo kitamu na damu za kutosha za waisraeli zilimwagika. Let him play with fire to burn his finger properly.
Wewe ni mwendawazimu kabisa na hilo unalosema ni dua la kuku Mwamba Benjamin Netanyahu ndiye mwamba kiboko cha magaidi wa Kiarabu na dunia nzima.

Oct 07,2023 wakati magaidi wanafanya mauaji ya kutisha huko Israel ulikuwa na furaha sana kwa hiyo hata sasa nakushauri tu uendelee kufurahia yanayoendelea huko Gaza maana hakuna namna nyingine!!!
 
Nikionaga comment kama hizi najua kweli Waafrika sio binadamu kamili Wewe unanufaika vipi na Israel binafsi vipi Sudan hapo watu wanachinjana lakini upo kimya umeshupalia vita ya Middle inakusandia nini?huyo Netanyahu unayemshabikia anakujua?
 
Wewe Mwarabu koko tuliła nikukumbushe Oct 07,2023 ulikuwa unafurahia sana wayahudi kuuwawa na magaidi wa Kiarabu leo hii ubao umebadirika unajifanya kulialia kama NGURUWE!!! Tuliła magaidi hao wapigwe dose inayowafaa!!!

Wewe uliyekuwa unafurahia mauaji ya Oct 7,2023 hao waarabu walikuwa wana kujua wewe Mwarabu-koko wa kwa Mpalange?
 
Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 21
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 20
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 20
  • IMG_3481.jpeg
    IMG_3481.jpeg
    130.1 KB · Views: 20
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 20
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 27
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 21
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 19
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 25
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 24
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 20
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 20
Omba wewe ruhusa ya kuishambulia Israeli halafu upewe hiyo ruhusa tuone kama utaishambulia.
Hapa issue siyo ruhusa, ni uwezo maana Israeli akiishambulia Iran, Iran anaweza kulipiza kisasi kwa kushambulia kambi za US. Lazima US ajue na akae tayari kwa lolote.
Israel haijiwezi.
Kivipi kushambulia ashambulie Israel halafu Iran alipue kambi za USA!?
Unaongea hata hujui unachoongea.
Hata Ile vita ya June Iran alishambulia kambi za USA Qatar na Iraq baada ya USA kutumia B-2 spirit bomber Fordow.
Kama USA asingeshambulia ndani ya Iran basi Iran angemchapa peke yake Israel pasi na kushambulia kambi za USA.
Israel haijiwezi,kitendo cha kuomba ruhusa ni kuwaweka tayari mabwana wanaomlea kumsaidi pindi Iran akijibu mashambulizi.
Maana hata vita ya June USA ndiye aliyeshiriki pakubwa kufanya interceptions ya makombora ya Iran.
Kiufupi ISRAEL PEKE YAKE HAIJIWEZI.
 
Iyo kuomba ruhusa yoote ni woga uliopitiliza, CIA aliyetoa siri ya mashambulio makali kutoka Iran dhidi ya Israel na kwenye kambi za Marekani zile siku 12 za hivi karibuni amefukuzwa kazi wiki iliyopita
Nani huyo alikua!?
 
Israel haijiwezi.
Kivipi kushambulia ashambulie Israel halafu Iran alipue kambi za USA!?
Unaongea hata hujui unachoongea.
Hata Ile vita ya June Iran alishambulia kambi za USA Qatar na Iraq baada ya USA kutumia B-2 spirit bomber Fordow.
Kama USA asingeshambulia ndani ya Iran basi Iran angemchapa peke yake Israel pasi na kushambulia kambi za USA.
Israel haijiwezi,kitendo cha kuomba ruhusa ni kuwaweka tayari mabwana wanaomlea kumsaidi pindi Iran akijibu mashambulizi.
Maana hata vita ya June USA ndiye aliyeshiriki pakubwa kufanya interceptions ya makombora ya Iran.
Kiufupi ISRAEL PEKE YAKE HAIJIWEZI.
Hayo ni maneno ya kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo cha siku 12 kilichowaacha makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran kufa kibudu!!
 
Attachments

  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 16
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 21
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 21
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 23
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 19
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 21
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 25
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 22
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 21
Tetesi Habari za intelijensia za ndani kabisa => Israel kajipanga kweli kweli, ataipiga Iran kwa Satellite Laser Weapon na kukausha kila kitu huko Tehran vya kijeshi, na sehemu maalum za kijeshi huko Iran, hasa kwa kutumia viumbe wasionekana, hivyo Iran itapigwa kwa mshtuko mkubwa bila kujua nini kimewapiga, na huo ndio utakuwa mwisho wa Utawala wa Ayatollaah, ngoja tuone sbb Trump atawapa ruhusa lazima na Russia haitasaidia Iran hata kidogo.
Mkuu, naona ujui vizuri mapungufu makukubwa ya matumizi ya silaha za laser!! Kwanza low earth orbiting satellites umbali wake kutoka aridhini hauzidi kilometer 250 kusema kwamba satelliye za LEO zonaweza kutumika kushambulia/lenga targets zilizopo aridhini hiyo si kweli na hapo hatujazungumzia zile ambazo ni geostationary satellite umbali wake kutoka aridhini ni zaidi ya kilometer 23,000!! Ni laser beam gani yenye uwezo kupenya umbali huo mkubwa bila ya nguvu zake ku decay exponentially - hakuna, silaha hizo zinaweza kutumika kiufanisi kwenye masafa mafupi tu, basi.
 
Back
Top Bottom