mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
KWA MSAADA WA KAKA🤣🤣🤣.muhamadi mwenyewe angekuwepo haiwezi israel😂😂😂
wewe mwanaume pigana
KWA MSAADA WA KAKA🤣🤣🤣.muhamadi mwenyewe angekuwepo haiwezi israel😂😂😂
Vita iliyoisha unatambua Israel ndie aliiomba US kuongea naIran kufanya ceasefire? kwa sababu Israel haikuwa na uwezo tena wa kuvumilia mashambulizi yale...Israel wamuache Ayatollah apone pressure yake kwanza. Watamuua huyu mzee.
Kataifa kadogo ambako hakafiki hata nusu ya Iran ila kanapeleka moto vibaya.
Viogozi na wanasayansi wa nyuklia wa iran wameuliwa,,mitambo ya nyuklia ya iran imepigwa,,,huku kwa iran alichoweza ni kupiga majengo raia wa israel.Vita iliyoisha unatambua Israel ndie aliiomba US kuongea naIran kufanya ceasefire? kwa sababu Israel haikuwa na uwezo tena wa kuvumilia mashambulizi yale...
Israel iliingia vitani kwa malengo mawili... regime change na kuharibu vinu vya nuclear, hakuna hata moja wamefanikisha... utasemaje wameshinda?Viogozi na wanasayansi wa nyuklia wa iran wameuliwa,,mitambo ya nyuklia ya iran imepigwa,,,huku kwa iran alichoweza ni kupiga majengo raia wa israel.
Halafu mnasema iran kashinda.
HIVI NYIE MNATUMIA MATAKO KUFIKIRI AU ?
Hahaha Iran anasilaha akitumia hakuna kitu kitafanya kazi Israel, nyie anzisheni tu mtakuwa wa kwanza kuomba vita isimame kama vita vya siku 12Tetesi Habari za intelijensia za ndani kabisa => Israel kajipanga kweli kweli, ataipiga Iran kwa Satellite Laser Weapon na kukausha kila kitu huko Tehran vya kijeshi, na sehemu maalum za kijeshi huko Iran, hasa kwa kutumia viumbe wasionekana, hivyo Iran itapigwa kwa mshtuko mkubwa bila kujua nini kimewapiga, na huo ndio utakuwa mwisho wa Utawala wa Ayatollaah, ngoja tuone sbb Trump atawapa ruhusa lazima na Russia haitasaidia Iran hata kidogo.
Hamna mkuu. Mbona kuna hadi uzao wa sasa miaka ya 2010 ambao wamepewa uraia Iran!?Tatizo kubwa nchini Iran ni kwamba kuna raia wengi waliozaliwa na kuishi nchini Iran kama raia kwa miaka nenda rudi lakini asili yao ni Wayahudi hao ndio wanatiwa na Israel kifanya ujasusi na wakati mwingine kuhusishwa kwenye masuala ya Ugaidi mfano kuwauwa wanasayansi wengi wa Iran wauaji ni wao na wala sio MOSSAD, sikatai Mossad imaweza kuwa inahusika kwenye baadhi ya overt na covert operations in Iran lakini asili mia kubwa wahusika ni Wairan wenye damu ya kiyahudi.
Iran ikitaka to nip in the bud tatizo hili basi wa Wairan wenye asili ya Kiyahudi waoreshwa kwenye comprehensive data base mbona hiyo ni rahisi tu majina ya kiyahudi utayatambua kwa surname zao, Iran ikisha maliza zoezi hilo basi iwa round up na kuwambia waende Israel au taifa lolote watakalo taka. lakini wasirudi Iran - bila ya Iran kuchukua hatua kali kama hizo basi wakae wakijua kwamba Israel itakuwa inafanya mbinu za kuwahujumu kila kukicha. Mbona Israel yenyewe iliwalazimisha raia kutoka Ethiopia eti warudi kwao, kwani kuna tatizo gani Iran ikisema Wayahudi nao warudi kwao bila kujali wahusika ni wa uzao wa ngapi.
Hayo ndio mawazo yenu nyie kobazi,na mtaendelea kusema hivyohivyo,mwisho wa yote.Israel iliingia vitani kwa malengo mawili... regime change na kuharibu vinu vya nuclear, hakuna hata moja wamefanikisha... utasemaje wameshinda?
Kuhusu Israel kuua viongozi wa kijeshi wa Iran ni baada ya kustukiza shambulizi , US alimzubaisha Iran kwamba watafanya mazungumzo kuhusu nuclear kumbe Israel inajipanga kufanya mashambulizi...
Kumbuka pia Israel ilisaidiwa na US kushambulia ile vinu vya nuclear, hivi unafahamu kuna kinu cha nuclear wapo wanasayansi wa kirusi na Israel haikukigusa? hivi unaelewa Iran ana vinu vya nulear sehemu tofauti? hivi unaelewa kwenye lile shambulizi centrifuges zilikuwa zimehamishwa? hivi unaelewa lile shambulio lingefanikiwa mionzi ya nuclear ingevuja na watu waishio jirani wangehamishwa? ndio maana nakuambia hakuna lengo hata moja lililotimia...
Israel baada ya layers zake zote ulinzi wa anga kushindwa kuzuia missiles za Iran ikabidi aiombe US kuongea na Iran kuomba ceasefire, US ikaongea na Iran backdoor... Trump alikiri Israel ilipigika....
Kama USA na wamagharibi wakae pembeni wasishirikiane na Israel,basi Israel inafutwa mapema sana Iran.Wafuga ndevu na majini ,si waIRAN hao? Ila kwa uzoefu wako una amini Iran inaweza kuifuta Israel duniani? Mimi sijajua!
Israel is heading to its self destruction through the most idiotic coward Netanyahu. This time the entire Israel will flee to Europe. Sijajua wajinga kama hà wa wanaingiaje madarakani. Kwa sababu nina wasiwasi kama Netanyahu ni binadamu au ni jini mladamu ya watu, maana last time alichezea kipigo kitamu na damu za kutosha za waisraeli zilimwagika. Let him play with fire to burn his finger properly.
Ndio hivi mnavyoaminishana!!!??? Be rational kidogo basi.Vita iliyoisha unatambua Israel ndie aliiomba US kuongea naIran kufanya ceasefire? kwa sababu Israel haikuwa na uwezo tena wa kuvumilia mashambulizi yale...
muhammad mwenyewe hawezi hayo unayosema😂😂Kama USA na wamagharibi wakae pembeni wasishirikiane na Israel,basi Israel inafutwa mapema sana Iran.
Mkuu vita ya June tumeiona,nchi kama nne zimeshiriki kuzuia mashambulizi ya Iran ila Israel imeteketea vile,je kama ingekua Israel amesimama peke yake jiulize ingekuaje?
Muda mwingine kama unaamini Mungu lazima useme Mungu ana hekima zake.
Kobazi hawana akiliNdio hivi mnavyoaminishana!!!??? Be rational kidogo basi.
Malengo ya Israel yalitimia. Aibu kubwa kwa Iran. Mzayuni kapiga proxies (Hezbollah and the likes) halafu kaja kapiga Iran.
Mpaka sasa,hakuna majirani wa Israel wenye uadui naye ambao hawajakandwa.
Umesema kweli kabisa. Kingune ni ukubwa wa nchi na idadi ya watu.Kama USA na wamagharibi wakae pembeni wasishirikiane na Israel,basi Israel inafutwa mapema sana Iran.
Mkuu vita ya June tumeiona,nchi kama nne zimeshiriki kuzuia mashambulizi ya Iran ila Israel imeteketea vile,je kama ingekua Israel amesimama peke yake jiulize ingekuaje?
Muda mwingine kama unaamini Mungu lazima useme Mungu ana hekima zake.
Aliyeshambulia vinu vya nuclear ni US sio Israel, Israel haina huo uwezo...2.israel ilishambulia mitambo ya nyuklia ya iran.
Hata Iran ilifaikiwa kupenyeza missiles zake na air defense zote zilishindwa kuzuia.. anga la Israel lilikuwa wazi kwa Iran..1.israel iliingia anga la iran na kupiga na kuondoka
Israel iliomba ceasefire kupitia US, Iran wakajibu public kwamba Israel ikiacha kushambulia na wao wataacha, huelewi mambo mengi kuhusu vita... vita ikiwa inaendelea US na Iran walikuwa wanawasiliana backdoor kama kawaida...Haf tafuta wa kumdanganya kuwa israel iliomba ceasefire ,yani iran apate chance ya kumaliza israel halafu aache kisa marekani amesema,l???.
Regime change walifanikisha?Kiufupi israel alifanikiwa kwa yote aliyofanya ingawa sio kwa kiwango alichohitaji.
Nyie endeleeni kujitia moyo
Wewe hujui chochote kuhusu geopolitics na siasa za mashariki ya kati, unapelekeshwa na mahaba....israel kapiga majirani zake wote pale ingawa ni ka nchi kadogo.
ila bado kuna majinga humu yanatumia sijui pumbu kufikiria yanalinganisha israel na upuuzi wao.
Hatujui ila USA mbwa wake mashariki ya kati ni Israel.Umesema kweli kabisa. Kingune ni ukubwa wa nchi na idadi ya watu.
Irani ni kubwa kuliko Israel.Pia Iran ina idadi kubwa ya watu,mara 9 ya idadi ya watu Israel.
Ila magharibi wana isaidia Israel...sijui kwa nini? Kuna madini huko Israel? Au ina umuhimu gani kwa magharibi?
Malengo yapi ya vita kwa Israel alifanikisha? unaweza kunieleza? regime change ilifanikiwa? kuharibu nuclear sites alifanikiwa?Ndio hivi mnavyoaminishana!!!??? Be rational kidogo basi.
Malengo ya Israel yalitimia. Aibu kubwa kwa Iran. Mzayuni kapiga proxies (Hezbollah and the likes) halafu kaja kapiga Iran.
Mpaka sasa,hakuna majirani wa Israel wenye uadui naye ambao hawajakandwa.
Wacha kubishana na viazi kaka unajishusha hadhi bana.Aliyeshambulia vinu vya nuclear ni US sio Israel, Israel haina huo uwezo...
Hata Iran ilifaikiwa kupenyeza missiles zake na air defense zote zilishindwa kuzuia.. anga la Israel lilikuwa wazi kwa Iran..
Israel iliomba ceasefire kupitia US, Iran wakajibu public kwamba Israel ikiacha kushambulia na wao wataacha, huelewi mambo mengi kuhusu vita... vita ikiwa inaendelea US na Iran walikuwa wanawasiliana backdoor kama kawaida...
Israel ilikuwa inaingizwa kwenye war of attrition... Iran ingeweza kupambana muda mrefu bila tatizo.. Israel hawana huo uwezo.. Iran ilishapambana na Ira kwa miaka 8 ukae ukijua... war of attrition Israel haina uwezo.. uchumi wake wa stocks haichukui miezi mitatu nchi ina collapse..
Regime change walifanikisha?
Kuharibu vinu vya uclear walifanikisha? ndio nakuambia kuna kinu kipo Iran kuna Russian scientists na Putin alisema wazi wakishambuliwa watu wake hali ya hewa itachafuka...
Unaweza kunambia walifanikisha lipi?
Ahsante kwa msaada mkuu, maana nilikuwa nashangaa sana hoja zake... mkuu sitomjibu tena...Wacha kubishana na viazi kaka unajishusha hadhi bana.
Huyo jamaa mie nimemu ignore kabisa. Anaendekeza trivial reasonings na yuko too judgemental emotionally.
Kwani anga la iran halikuwa wazi??,tena israel ilitumia ndege na marubani wa kike.,ambapo iran ilitumia missiles.Aliyeshambulia vinu vya nuclear ni US sio Israel, Israel haina huo uwezo...
Hata Iran ilifaikiwa kupenyeza missiles zake na air defense zote zilishindwa kuzuia.. anga la Israel lilikuwa wazi kwa Iran..
Israel iliomba ceasefire kupitia US, Iran wakajibu public kwamba Israel ikiacha kushambulia na wao wataacha, huelewi mambo mengi kuhusu vita... vita ikiwa inaendelea US na Iran walikuwa wanawasiliana backdoor kama kawaida...
Israel ilikuwa inaingizwa kwenye war of attrition... Iran ingeweza kupambana muda mrefu bila tatizo.. Israel hawana huo uwezo.. Iran ilishapambana na Ira kwa miaka 8 ukae ukijua... war of attrition Israel haina uwezo.. uchumi wake wa stocks haichukui miezi mitatu nchi ina collapse..
Regime change walifanikisha?
Kuharibu vinu vya uclear walifanikisha? ndio nakuambia kuna kinu kipo Iran kuna Russian scientists na Putin alisema wazi wakishambuliwa watu wake hali ya hewa itachafuka...
Unaweza kunambia walifanikisha lipi?