Hata mimi hilo kidogo limanishangaza, yaani hiyo inanikumbusha tulipo kuwa watoto wadogo mtu akianzisha uchokozi au ugomvi sasa ukiona labda mwenzako anaonekana ana nguvu kuliko wewe, unawambia wezako jamani eeh, ebu nishikeni mikono nisije nikamuhumiza huyu jamaa, kumbe deep down unamwogopa lakini hutaki kuonyesha dhahili dalili za wogo, sasa na Israel ndicho anacho kifanya hicho, kama ana uhakika anaiweza Iran ya nini kuomba ruhusa kwa Trump kwanza, si ufanye pre emptive strike yake yatakayo tokea hapo mbeleni shauri yako na sio unamkimbilia tena Trump kuomba msaada wake maji yakikifika shingoni.