gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Binadam kiumbe muharibifuMwanadamu akishashiba anatafuta mahali pa kunyea š
HajiweziKwanini aombe ruhusa kama anajiamini, big powers hawaombi ruhusu, wanaliamsha dude tu....
Israel wamuache Ayatollah apone pressure yake kwanza. Watamuua huyu mzee.Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali
View attachment 3453867View attachment 3453869
Na Israel nao wakawa na viwanda vya drones humo humo ndani ya IranIran kasema ana viwanda vya silaha nje ya nchi, probably Yemen,lile kombora la juzi la Yemen ni ishara mbaya kwa israel
Vingi mno,Iran anavidaka kila sikuNa Israel nao wakawa na viwanda vya drones humo humo ndani ya Iran
Israel alivyopigwa bado ana hamu?Mwanadamu akishashiba anatafuta mahali pa kunyea š
Anahisi alikosea padogoIsrael alivyopigwa bado ana hamu?
š Unaonaje tukawa tubashuhudia pamojaWaanze chapu,tushuhudie vimondo
Netanyahu amejikatia tamaa hivyo anaweza kuvizia tena...Israel alivyopigwa bado ana hamu?
Unasemaje bwana kunguni?Japo sipo na Israel ila nyuzi za machawa sijui nazionaješ¤
Inaonekana mkuu umemisi ligi zenu humu JF maana sasa mmetulia.Waanze chapu,tushuhudie vimondo
Kiazi weweUnasemaje bwana kunguni?