Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Pole sana mkuu, inaonyesha unaumia sana 😂
 
Tangu juzi Trump alisema Israel inapanga kuishambulia Iran.

Nadhan taarifa ya Jana ya waangalizi wa nuclear IAEA iliwashtua Israel wakaona wakiwashe.
Kumbuka iran ilipata nyaraka nyingi za Israel ikiwemo namna ya kuunda mabomu na wimbi kubwa la majasusi wa Israel waliopo iran. Naona hii imefanya Israel ifanye mashambulizi ya chap chap maana safari hii Israel imetumia makombora mazito mfano wa Lora air launched n.k
 
Kwamba watu wanaposema biblia ni kitabu cha mchongo unakubaliana nao?

Kumbe mtu yeyote anaweza kuingizwa kwenye biblia kwa kuifanyia alteration 😅.
Hata ww tunaweza kukuweka kwenye Biblia 😂
 
Israel hakurupuki ameshapima kila risk na potentials. Ameona akitulia Iran atafikia hatua ya nuclear kamili na hapo kumkabili ingekuwa vigumu. Yaani Iran anaenda kufanywa kama Iraq. Huyo US anayesema hajashiriki anajua vizuri kinachoendelea na sasa Trump anafanya kikao cha usalama kujipanga. Worse enough Iran atachanganyikiwa na apige targets za majeshi ya US yaliyoko middle East hapo atakuwa amegusa maslahi cha boss wa NATO na itakuwa rahisi US kumobilize other members wa NATO ku envoke ile aticle inayotaka collective defence. Iran the only remainig notorious nation kwenye middle East is comming to fatal ending
 
Hapo Iran alizubaa vibaya lakini amin mkuu marekani kahusika kwa asilimia kubwa pia wanapo shambulia wahakikishe wana piga na site za makombora ya masafa marefu la sivyo kitawaka
 
Mwaka wa 100 huu kauli n hy hy mnaifuta Israel kwenye uso wa dunia 😂 ila nyie ndo mnapigika
 
Iran ilisema imepata nyaraka lakini haikutoa ushahidi wowote kama ambavyo Israel ilichapishaga nyaraka za Siri ilizoiba Iran.
 
wapambe wa muajemi njooni
ila haka kanchi
kudumu miaka 77 kila siku vita
 
Hio habari toka mapema Iran wamesema hawafichi wafiche nini Waislam huwa ni wa kweli sio wakanisa na wateule wao uwongo uko mbele
Hebu tuletee hiyo Habari?... wamesema wapi?? Hii umetunga wewe...kama ni kweli leta source ya habari yako
 
Ww unaishi Tz ndo mana unaona n jambo la kushtukiza labla kwakuwa hufatilii, Ila wahusika walikuwa wana taarifa hadi Trump alishaliongelea hili, sasa ww unasemaje n ya kushtukiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…