Wabongo bhana π3rd world war is knocking..... Hawa wa Israel wamtoe Netanyahu haraka kwa maandamano la sivyo hawatapenda
Iran kupigwa haiwezi kusababisha vita vya dunia.Exactly, Iran itajibu kwa nguvu sana sana..
Trump leo namsikia anasema kabisa kuna uwezekano vita kuu ya 3 ikatokea... sasa sielewi ...
Hawataki Iran iwe na silaha ya kwamba itakuwa inahatarisha usalama wa IsraelNi nini kimeiuzi Israel hadi kuishambulia Iran???
Kosa la Iran liko wapi??
Asijaribu hili, washambuliane na Israel tuIran ametangaza "ALL OUT WAR" kwa Israel and Kibaraka Marekani......
Ameziagiza proxy wake wote kushambulia maslahi ya Israel na Marekani popote zinapoonekana....
Na Simba la masimba Netanyahu wala hana roho mbaya kabisa, anaifanya kazi yake vzr kuwapeleka magaidi peponi kula Bikra π₯Wavaa Cobazi na wao wafanye Revenge mbungi iwe tamu...mwaka huu Ahera iandae mabikira wa kutosha maana wateja wao watakuja kwa mafungu mafungu.
Ameshatangaza na military base zote za Marekani za middle east zimekaa mkao wa tahadhariAsijaribu hili, washambuliane na Israel tu
Yanagonga chupi yanarudiKazi wanayo π
Makobaz wa Bongo wamebaki kujifariji tuu
Hii inakwenda kuwa vita mbaya sana kwa Israel..... Iran amejipanga kwa miongo kadhaa kwa hiliNdo Marekani anachotaka sasa. Ili apate nafasi nzuri ya kuitwanga Iran na kuidhoofisha kupitia israel.
Wabongo wana matatizo ya akili, hao kila siku wanapigwa na wanabaki na hizo kauli zao kila siku za kutokea WW3 na kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ila bado hakuna jipya πIran kupigwa haiwezi kusababisha vita vya dunia.
Tulia kwanza yahud amnyoe uchebe bwana ayatollahNimesikia mabaniani mna gawa dada zenu bure na juu ya hapo dada zenu wanalipa pesa
Chief of staff naye kafa nadhani hawa Israel walijuwa wako kwenye meeting time hizo.
Iran kapigwa kizembe sana ππ, Israel katoka km zaidi ya 2000 kaenda kuua mtu kalala, kaua watu kadhaa wanakuja kushtuka asubuhiIran kupigwa haiwezi kusababisha vita vya dunia.
Yale mapipa S400 ya Mrusi yalikuwa yamesinzia?Wanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.