Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Na nyie magaidi tafuteni wa kuwatetea
 
Kikobaz kinajifariji na huku kimevaa kipedo na kusugua makalio. Israel imewatia dole gumba. Endeleeni kuinama
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Iran saa hii angekuwa ameshatuma proxy wake Hamas na Hezbollah kwenda kushambulia Israel, ila akifikiria nao wameshakatwa mikono anaishia kulia tu
 
Ingelikuwa ni Iran ndio imemchokoza na kwenda kumpiga Israel hapo ungesikia media zooooote zina laani vikali shambulio hilo. Na ungeona wanasema terrorist attack. Na leo leo UN SEcurity council ingeitwa kikao cha dharura kuona namna ya kumsaidia Israel na kutoa matamko makali.

Ila sasa vita kaanzisha Israel ni mchokozi kabisa wa wazi lakini hutasikia matamko wala nini.

IRAN NAMUAMINIA SANA; MAJIBU YAKE TUNAYASUBIRI KWA HAMU

Huyo SHETANYAHU anaenda kuimaliza rasmi Israel; hiyo Israel inaenda kufutwa kwenye uso wa dunia
 
Pia kuna taarifa kwamba Israel special forces walikuwepo au wapo ndani ya Iran.

Wale special forces wetu huwa wanavujaga mbao kwa mikono 🤣 halafu wanajiona wako juu sana.
Yeah ndo taarifa kuwa waliingia weeks, ndo maana unaona Air Defence hazijafanya kitu
 
Israel hawezi,hilo shambulio limeratibiwa na USA.
Hata Lile shambulio la ndege 100 liliratibiwa na USA.
Israel hana uwezo wa kupanga shambulio peke yake yeye kama yeye dhidi ya Iran.
BREAKING. This is downright insane. In the best sense of the word. Just wow. Seriously.

This puts the beepers to shame.

IDF Spokesperson:

Two hundred planes dropped 330 munitions, the Chief of Staff, the head of the Revolutionary Guards and other senior officials were eliminated.

We launched the operation in the face of an existential threat.

We embarked on an operation to ensure our existence here.

Israeli Security Source – Behind the scenes of the Israeli strike in Iran:

The Mossad secretly built capabilities inside Iran aimed at damaging Iran’s strategic missile array and air defense systems. Mossad agents smuggled large quantities of specialized weaponry into Iran, deployed them across the country, and launched them at targets with precision and effectiveness.

Disclosed operations include:

1. Commando Units: Mossad commando teams deployed precision-guided weapon systems in open areas near Iranian surface-to-air missile (SAM) sites to disrupt Iranian attempts to down Israeli aircraft.

2. Vehicle-Based Technology: Sophisticated technologies were installed on vehicles. At the start of the surprise attack, the weapons were launched and completely destroyed targeted Iranian defense systems.

3. Drone Base: Mossad established an explosive drone base inside Iran, which launched attacks on surface-to-surface missile launchers at the Aspehbad base near Tehran—launchers considered a strategic and civilian threat to Israel.

Itay Blumenthal
 
Kitendo alichokifanya Israel ni cha kichokozi na kinapaswa kujibiwa kwa nguvu zote na Iran ili iwe fundisho kwa Israel na Baba yake Marekani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…