mbona mi sijawahi kusikia kuwa wapalestina wameathirika na makombora yaliyorushwa na Iran?Iran wanategemea warushe makombora ya mbali na mengi huwa yanakosa target yanatua sehemu zisizo na athari, hayavuki Israel yanaua wapalestina, mengine yanazuiwa na iron dome,
Israel harushi makombora, Anatuma marubani waende kudungua targets kwa ufasaha
Iyo Kauli ya Rubio ina onyo ndani yake, anamaanisha Iran akitaka asavaivu kwa mda asiguse interests za Marekani la sivyo atakuja kugeuzwa kama Iraq.Hapa zitapigwa kambi za USA zote zilizopo IRQ ndo maana USA kasema hausiki
Sawa sasa geuza Fanya hayo mabomu ndio angekuwa katumiwa IranMsitake kutudanganya nyie.
Mabomu yaliingia na makazi zaidi ya 100 yaliharibiwa.
Embu muwe mnasoma habari.
Sawa ngoja tuoneSubiri majibu..
Kuna mtu amenichekesha hapa kwenye ufukwe wa bahati ya Hindi.Unacheka nn mabala ze fama
Anajitambua kama Saudia na Misri na UAEHuyu nchi ya Jordan ******* sana kima Missiles za Iran anazuia wakati ndege za Israel anaziwachia kutumia anga lake.
View: https://youtu.be/5midoy4i7O4?si=Bn4l_8jNJcmgqK4E
Inafaa Iran anguished hapo Amman Missiles mbili kidogo huyo kibaraka apate adabu
Eti Trump kamchoka Israel sema tu hasemi, unafikiri hizo silaha za kupiga ndani ya Iran kapewa na naniHalafu sasa hata nchi za Ulaya zimeichoka Israel, majuzi hapa France, UK, na Canada wametoa statement kuipinga Israel. na nchi nyengine nyingi za Ulaya pia zilishatoa matamko. Nchi pekee ambaye haijamkana hadharani israel ni US
Na ni juzi tu Trump kapewa mazawadi hapo middle east kwa hivyo na yeye Israel anamkwaza japo hasemi..
Israel itaenda kupigwa na Iran huku haina misaada ya west inayotegemea.. hao west washayachoka hayo machoko
SHETANYAHU NA IBILISI wamezaliwa tumbo moja
ila kwenye hili naomba Iran asitumie nguvu kubwa, na afanye tageti kwenye maeneo yasiyo na athari Kwa makusudi then awasahaulishe Kwa muda.. alafu ndo ashushe kitu kizito Cha maanaAnayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Wewe hata Bible huisomi, zubaa hapo.Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Sio moja bila ni 3 bila makamanda wa3 muhimu wametangulizwa kwanzaSio kwamba hawezi kuishambulia Iran bali hawezi kuishinda Iran, basi sawa tuseme hadi sasa ni moja bila na mchezo unaendelea au sio!?
Jamaa huko Wana mambo ya ajabu sana sijui kwao vita ni stareheHuo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
SureIla Waarabu na hao Waajemi ni mafala sana.
Iyo ndio missile?
Dream on Dunia sio sehemu ya kuishi hata siku moja nature Ina kataa Hilo Kila kiumbe ni kibinafsi kutokana na kuvutia maslahi yake yanayo chagizwa na mfumo wa asiliNi sahihi. Hawa nao wanachosema. Wao ni kugombana na wenzao kila siku bila sababu.
Dunia yetu ni sehemu salama ya kuishi na sio kuuana kila siku bila sababu.