Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Anakwenda kufinyangwa mtu mchana kweupe tuupe muda heshima yake.
 

Kikobaz kinajifariji na huku kimevaa kipedo na kusugua makalio. Israel imewatia dole gumba. Endeleeni kuinama
 
safi sana idf mazee dah...show la kibabe kabisaa, makobazi yanyooshwee
 
Hii sasa ni vita.
Sisi huku bongo na afrika yote tujiandae kufunga mkanda kwa kupanda gharama za maisha. Petroli itakuwa juu mara dufu.
 
Iran hawa air defense?

S-300 na S-400 zilikua zimelala?
Taarifa waliyotoa Israel ni kuwa kwa zaidi ya mwaka Mossad na makomandoo wake waliingia Iran, wakaanzisha kambi za drone na kusuka mipango ya kulipua sehemu kubwa ya hizi Air defence, kwa hiyo Jana operation ilifanyika ndani na nje ya Iran kuharibu air defences,
 
This now is the Israel I know.. Israel piga hao
 
hapo utakuta ni waisarel ndio wapo hapo Jordan wanafanya hizo kazi au watu wa US. Huyo mfalme wa Jordan, Saudi, rais wa Egypt wote hao ni wa kupinduliwa.

Iran angeanza kwanza na hao awaoindue ndio aimalize Irasel. Hao ni wanafiki wamewekwa hapo kulinda maslahi ya Israel na US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…