Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Sijui kwa nini TISS wameiruhusu Israel ifanye hayo mashambulizi 🤣.
 
🤣

Israel inawachezea sana hao Waarabu.

Yaani inawatandika kila kona….Gaza, West Bank, Lebanon, Tehran…..

Cairo na yenyewe ikijichanganya itachapwa.

Waarabu hamna kitu kabisa.
Nenda shule Iran sio warabu afu kuanza kurusha mawe sio ushindi, ushindi ni matokeo yanakuja mwishoni.
 
Huu uzi utaeleweka tu muda si mrefu 👇
 
Haya kuanzisha vita si hoja kuimaliza vita msije omba peace badaye huko UN. Kule Israel wameanzisha wao na wako na wasi wasi.
Iran bahati yake ni Umbali.

Iran na Israel umbali ndio unaofanya vita yao isidumu..

Iran ya Ayatollah imekuwa ikiichokoza Israel mara nyingi Israel anawachekea, Hezbollah na Wahouthi kila wiki walikuwa wanarusha Silaha za Iran kuelekea kwenye mihi ya Israel


View: https://x.com/MOSSADil/status/1933320549054493042
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…