Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran


 
Kupigwa ata Russia upigwa lkn mpiganj awe tayali nayeye kutuliza mgongo akipigwa.. asipige kelele!!!!
 
Unaweka plant za nyuklia hadharani vile halaf una mifumo dhaifu ya kiulinzi km
ni kweli iran hawana backup ,,basi Israel intelligensia yao iko vzur
 
Wote hawa Iran inabidi apambane nao


🇫🇷\🇬🇧\🇺🇸 Fighter jets from France, the UK, and the U.S. are reportedly engaged in intercepting Iranian drones over Jordanian airspace.
Afu Faransa na UK wanajidai eti wako against Israel. Sadat aliwahi kusema hatupigani na Israel tunapigana na Europe na USA.

Israel ni simba kwenye picture tu
 
Wote hawa Iran inabidi apambane nao


🇫🇷\🇬🇧\🇺🇸 Fighter jets from France, the UK, and the U.S. are reportedly engaged in intercepting Iranian drones over Jordanian airspace.
Kwa ujumla Iran hana ubavu wa kupambana na Israel ndiyo maana kapigwa kama mtoto mdogo!!!

Drones zaidi ya 100 alizotaka kulipiza kisasi zote zimepopolewa hayo mapipa yake hawezi tena kuyatumia maana shambulio hili lilipangwa likapangika !!!!
 
Shabaha ni muhimu sana. Kwenye vita ya vifaru na Misri kamanda aliwaambia shabaha ndiyo kila kitu. Na akawaonyesha yeye mwenyewe kwa mfano. Wakati wa vita vifaru vya Israeli vilikuwa vinaanza kushambulia kutokea mbali na kwa shabaha. Vya Misri vilikuwa mpaka visubiri visogee. Vikawa vinajikuta vinawahiwa.

Kuna majeshi yanarusharusha tu risasi na mabomu na kuna mengine yanarusha yakilenga kuhit target.
 
Kuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Mayahud yako very strategically yameanza na alietumwa (hamasi) yakaja na aliesapot (hizbollah) yanamaliza na mtumaji (iran) nahis baada ya iran wale wavuta ugoro wa yemen watajifia natural death kifo cha ukata
 
Afu Faransa na UK wanajidai eti wako against Israel. Sadat aliwahi kusema hatupigani na Israel tunapigana na Europe na USA.

Israel ni simba kwenye picture tu
Mtanyooka tu Iran kila mara nilikuwa nawaambia lazima apigwe kwa sababu nilikuwa najua Iran hana ubavu wa kupigana na Israel. Kwa sasa hivi Aljazeera na PressTv wanabwabwaja ovyo ovyo tu.
 
Hivi ni nini sababu ya vita kati yao?
Kwanza Iran kutengeneza silaha za Nuclear na iliahidi kuifuta Israel kwenye uso wa dunia.
Pili Iran kufadhili makundi ya kigaidi ya Hama,Hezbollah na Houth ambayo yamesababisha Israel iwe kwenye vita hata sasa hivi.

Hivyo Israel imeona bora ikatwe kichwa cha Gaidi mkuu Iran.
 
🏴‍☠️🇺🇸 | CNN acknowledges the Zionist regime's use of American fighter jets in its aggression against Iran

🟡 @NEWWORLDORDYR
 
🇮🇱🇮🇷Israel has issued a direct ultimatum to Iran.

Now that Iran's skies are wide open and defenseless, its leaders face a decision: If they attack us, we'll attack their refineries and destroy their economy. If they let us destroy their nuclear facilities without a tough response, we'll leave their refineries intact.

Israel also said it was ready for a full-scale war with Iran. In fact, this is already a war, where Iran has a choice between war or capitulation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…