Huyu mwamba aingizwe kwenye Bibilia takatifu
Hivi una habari wanajiandaa na ground invasionWataharibu majengo ya juu tu.
Ila vifaa viko underground hawataweza kuvifikia na kuviharibu.
Huyu mwamba aingizwe kwenye Bibilia takatifu
Vita haiko Kwenye media vita Iko Kwenye ardhi ndugu yangu nakumbusha Iran sio Syria
Naunga mkono hoja, tena awekwe kwenye agano jipya 🔥Huyu mwamba aingizwe kwenye Bibilia takatifu
Ametumia ujana wake wote vitani hadi akafikia kuwa mfalme
Udevu unaoshwa kuliko makwapa😅
Unadhani Iran haiwezi ku contain ground invasion?Hivi una habari wanajiandaa na ground invasion
Hamna vita kuu ya 3 ya dunia hapo, Russia hawezi kuingia hapo ndio maana alifunga makambi yake ya kijeshi yaliokuapo Syria. Kingine hao Russia/Ukraine top military commanders wengi wana damu ya kiyahudi kwahio wao na Israel damu damu. Israel mkakati wake ni kuweka vifusi kwa kila kituo cha nuclear cha Iran, kwa kufanya hivyo vidagaa kama Houthi, Hezbollah na Hamas vitakua havina nguvu tena.Wameamua kuilazimisha vita kuu 3 ya Dunia kwa nguvu zote.
Vita ni mkakati,Unadhani Iran haiwezi ku contain ground invasion?
Rejelea Iran-Iraq war.
vipi wasiojulikana bado wana wateka,kuwaua,kuwalawiti,malizeni na yakwenu kwanza..watu waoga ni mashabiki wakubwa wa vita sijui kwa nini?US ndio kapiga Israel ni simba kwenye picture tu lakini mpaa mda hu sidhani wamepiga kwenye Nuclear facilities. Tusubiri majibu ya Iran
Siku hizi magaidi yamepunguza kujivika mabomu au ile zawadi ya bikra ni mchongo😅Iran wanaitawala ni wale wavaa kobaz wana kelele sana mdomoni tu elimu dunia zero
Kelele za Allah Akibar
Vita za sasa yaani modern warfare hawawezi zinahitaji elimu kubwa sana sio tu ya kukariri aya za kuruani kama walizonazo
Najua hiloVita ni mipango, sio kurusha fataki tu