KudadekiSatellite images confirm surface-level destruction at multiple buildings within the missile base compound. Roofs are visibly damaged, debris is scattered, and smoke is still rising from some areas.
View attachment 3367125View attachment 3367126View attachment 3367127
Ni mawazo yangu kama yalivyo mawazo yako.Mawazo yako Tu. Zimepita vita ngapi za kutisha wewe!? Mwisho bado sana...
Now wanapiga Kinu cha pili ambacho kobazi wanasema kipo mita 800 chini ya ArdhiIsrael inaendelea ilipoanzia, wakiweka inabutuliwa
Kweli lakini mimi naona kama huo ndio mwisho wa kitaifa kilicho undwa na Western. Iran si nchi ya kushindwa vita na kataifa kanaitwa israel tunajua wazi USA, UK. France. German, Italy wote hao na warabu wanansaidia sasa hivi Israel kuangusha hizo drones je watazuia HypersonicMasikini! Inasikitisha sana
NETANYAHU AKBARKumbe mnamini jiwe afu mnasema sisi ndio tunabudu jiwe hahaha.
We peleka hio bibilia yako kanisani hicho sio kitabu cha Mungu ni kitabu cha Paulo.
80m undergroundIranian media outlets are reporting a series of attacks on the Fordo nuclear site in Iran.
This is the deepest and toughest enrichment facility!
The ayatollahs are in complete shock!
Pale wanawapiga milango tu ns umeme, walio chini wabaki huko na walio juu wabaki hukoNow wanapiga Kinu cha pili ambacho kobazi wanasema kipo mita 800 chini ya Ardhi
mifumo haipo labda watumie bastola kutungua ndegeKuna udhaifu mkubwa sana kwenye mfumo wa jeshi la Iran.
Wayahidi awafai kwa intelejensia, imajini wanaingia iran wanamdungua wanaemtakaHivi hawa watu wenye mavyeo makubwa huwa wanashindwa kujificha mpaka wwnadunguliwa kirahisi rahisi tu hivi. CDF mzima unalengwa kirahisi hivi tena wakati dalili zote za mashambulizi zilikuwa wazi. Basi hawa Wayahudi na Mossad yao ni hatari sana. Maana mpaka wanakulenga na bomu ni lazima wajue uko wapi. Ni nani ambaye huwa anawapa hizi taarifa sahihi kwamba kwa sasa IDF yuko hapa rusheni bomu? Inashangaza sana aisee....
View attachment 3366686
mifumo haipo labda watumie bastola kutungua ndege
Sawa umeona target alizo piga Israel hahaha zote ni civilian area yeye akipigiwa hizo civilian area wataishi wapi watu wake hahaha. Ndege zitoke Tela Aviv zikapige majumba ya watu huo ni ushoga tu. Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.