Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

โ€”โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ/๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท BREAKING: HUNDREDS OF MISSILES INCOMING

@Middle_East_Spectator
 
โ€”โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ/๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท BREAKING: HUNDREDS OF MISSILES INCOMING

@Middle_East_Spectator
 
Biden aliwalea sana Iran wakaanza kuipanda kichwa USA na walijua akiingia Trump tu watapata shida sanaaa na ndiyo maana ulimwengu wa kiislamu kamwe haukumtaka Trump maana walijua jamaa ni pro Israel
Kwa jinsi walivojitutumua mwaka jana kurusha yale makombora siamini kama leo wanachapika hivi, kumbe myahudi alikua anawasoma tu.
 
โ€”โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ/๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Impacts in Tel Aviv
 
Kwa jinsi walivojitutumua mwaka jana kurusha yale makombora siamini kama leo wanachapika hivi, kumbe myahudi alikua anawasoma tu.
Myahudi habari nyingine kwenye intel ujuwe unaweza kuta wanaombadilisha pampaz Ayatollah na kumsafisha ni wayahudi, ukute wake/mke zake ni wayahudi, na zee lipolipo tu na IRGC/intel ya Iran wala hawajui
 
Macron: France will not take part in Israel's attacks on Iran, but if Iran attacks Israel - France will help defend it
 

View: https://x.com/visegrad24/status/1933591673730171066
Kuna tofauti ya msingi ya Mashambulizi ya Iran na Israel nadhani tofauti kubwa ni falsafa ya Majeshi.

Iran wao wanajali number na vita ya muda mrefu, Israel wao ni fast and precision
Iran inajua wazi Israel iko vizuri sana tena sana kwenye kuintercept vijikombora vya kiirani sasa inachokifanya ni kurusha vijikombora vingi sana kwa mara moja ikiamini mifumo ya Israel itaelemewa na machache yatapenya na angalau kuwapunguzia aibu na kuwafuta machozi wairani na ndicho kinachoendelea sasa
 
Kwanini Israel huwa hatumii Ardhi kurusha makombora?
 
 
โ€”โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท/๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Moment of the arrivals in Tel Aviv
 

Attachments

  • VID_20250613_215923_889.mp4
    181.9 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ