Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
BRICS ni muungano wa kiuchumi kama Ilivyo SADC au ECOWAS siyo muungano wa kijeshiBRICS ipo wapi kumsaidia mwanachama mwenzake?
Hapo sawaBRICS ni muungano wa kiuchumi kama Ilivyo SADC au ECOWAS siyo muungano wa kijeshi
Peleka motroooo YahudiView attachment 3369720
Israeli attack on the headquarters of the Atomic Energy Organization of Iran in Tehran
Unayajua makombora ya SCUD wewe?? Au umezaliwa af 2?? Israel walishapigwa sana na Saddam Hussein na ndio kiini cha Saddam kuondolewa na kuuawa maana alikua anaelekea kusumbua kama inavyofanya sasa hivi Iran.Kwanza kabisa ni ukweli kwamba toka kuanzishwa kwa taifa la Israel hawajawahi kushambuliwa kama ilivyotokea jana..
Makombora yalikuwa yanatetemesha jiji zima la Tel Aviv..
Israel hawakuwahi ku experience aina ile ya mashambulizi katika ardhi... nadhani wananchi hawajapenda kilichotokea na wamepata picha halisi wanaoishi Gaza wanakumbana na kitu gani... wanaelewa pia iron dome ni upuuzi na haitowalinda licha ya kutumia mabilioni ya pesa kiuendeshaji, hivyo kifupi hawapo salama hata kwenye shelter zao...
Nionacho sasa Iran inaweza kufanya mashambulizi mazito ya kushtukiza ndani ya Israel muda wowote... kwa sababu zifuatazo.
1-Iran sasa haitofanya kosa la kusubiri Israel ianze kushambulia..
2-Iran wameuawa high ranking officers wengi hivyo wanaweza wakafanya kulipiza kwa Israel..
3-Kauli ya viongozi wa Iran akiwemo rais na Ayatollah kusema wataipiga Tel Aviv iwe flat, naona kabisa jana ilikuwa ni message tu..
Sadam kapigwa mara mbili na Iran , hapo Sadam alikuwa anasapotiwa na USSR, US, EU yote,nanchi za kiarabu zikiwemo Qatar n.k.. unaju waliokuwa wanamsaidia Iran ni nani..?Unayajua makombora ya SCUD wewe?? Au umezaliwa af 2?? Israel walishapigwa sana na Saddam Hussein na ndio kiini cha Saddam kuondolewa na kuuawa maana alikua anaelekea kusumbua kama inavyofanya sasa hivi Iran.
Israel walivyoanza vita hio juzi walikua wanalenga kudhoofisha uwezo wa nuklia wa Iran lakini sasa hivi wamebadili lugha ni "regime change", akina ayatollah wana wakati mgumu sana na hii vita inaweza kua ndio mwisho wao.
Subiri wiki iishe kama jamaa walivyokadiria ndio utaongea vizuri, Netanyahu vita viko kwenye damu ya familia yao. Yonatan Netanyahu ni kaka yake alifia Uganda kwenye "90 minutes at Entebbe", akiwa kamanda wa hicho kikosi kilichoenda kuwaokoa mateka wa Israel huko Uganda. Sasa Netanyahu keshasema Iran watajutraa na hii vita maana sasa hivi nuklia yote ni vifusi baada ya hapo Iran watapigwa hadi waombe poo. Hamas baada ya October 7, waliambiwa watalipa kwa uvamizi wao, angalia Gaza sasa hivi ni vifusi tu hata vijiji vya Bahi kule Dodoma viko vizuri. Urusi hawatatia mguu hapo maana kwao wenyewe kuna wayahudi wa kumwaga lazima wawasaidie ndugu zao wa Israel. Iran wameyakanyaga wasubiri vipigo tu, wao wanapiga makazi ya watu, wakati Israel wanapiga strategic site kuwamaliza nguvu.Sadam kapigwa mara mbili na Iran , hapo Sadam alikuwa anasapotiwa na USSR, US, EU yote,nanchi za kiarabu zikiwemo Qatar n.k.. unaju waliokuwa wanamsaidia Iran ni nani..?
Kasome historia, hio vita ilienda miaka 8..
Iraq sio Iran ndugu..
Iran ilikua iangushwe 1980.Subiri wiki iishe kama jamaa walivyokadiria ndio utaongea vizuri, Netanyahu vita viko kwenye damu ya familia yao. Yonatan Netanyahu ni kaka yake alifia Uganda kwenye "90 minutes at Entebbe", akiwa kamanda wa hicho kikosi kilichoenda kuwaokoa mateka wa Israel huko Uganda. Sasa Netanyahu keshasema Iran watajutraa na hii vita maana sasa hivi nuklia yote ni vifusi baada ya hapo Iran watapigwa hadi waombe poo. Hamas baada ya October 7, waliambiwa watalipa kwa uvamizi wao, angalia Gaza sasa hivi ni vifusi tu hata vijiji vya Bahi kule Dodoma viko vizuri. Urusi hawatatia mguu hapo maana kwao wenyewe kuna wayahudi wa kumwaga lazima wawasaidie ndugu zao wa Israel. Iran wameyakanyaga wasubiri vipigo tu, wao wanapiga makazi ya watu, wakati Israel wanapiga strategic site kuwamaliza nguvu.