Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Tukuelewe Vipi sasa, tulia uandike kitu cha kueleweka.

Hakuna kilichotokea mara mifumo sijui iliwashwa hivi ndivyo mnavyofundishwa madrasa?
 
Kuna chochote au hakuna kilichotokea?
 
Jamani mwenye picha au video ya sehemu iliyoshambuliwa na israeli huko Iran iwe ni mtaani au kwenye kambi ya jeshi bado nasubiri mbona kimya sanaa.
Mkuu hakuna kombora lolote lililo shambulia ndani ya Iran ,milipuko iliyo sikika ni mifumo ya ulinzi iliyo kuwa ina dungua drone zilizo kuwa zimeruka kwenye mji wa Isfahan nadhani Israel ilikuwa inataka kulipua kinu cha Nyuklia kilichoko eneo hilo shambulizi likafeli.
 
Tukuelewe Vipi sasa, tulia uandike kitu cha kueleweka.

Hakuna kilichotokea mara mifumo sijui iliwashwa hivi ndivyo mnavyofundishwa madrasa?
Mifumo katika kipindi hiki cha vita muda wowote huwashwa halafu ikazimwa,
Iran imeshatoa tangazo la kuruhusu ndege za abiria kuendelea na kazi zao nchi nzima
 
Halafu video waliyoweka ni ya HIZBOLLAH KULIPUA KAMBI YA JESHI KASKAZINI ISRAEL ya Galilee juzi jumatano.
Habari za kupikwa hizi.
 
Kama mswahili anaona ajali mbele yake na anaielezea tofauti itakuwa ya mbali tena kwa mahaba
Yule mkunya anafurahia na hajui anachekelea nini
 
Limekanushwa na Nani.....???

Angalia BBC na aljazeera wako live wanalichambua.......na Israel wamekiri kuendesha shambulizi kama hatua moja wapo ya kulipa kisasi
Mbona wanaktaa sasa?😅😅😅Marekani ndio wnatoa taarifa .

Hapa kuna siri hili taifa la Mungu linabebwa😅😅
 
Wazayuni na Wamarekani wako busy kuzima taarifa za Marekani kutumia veto kuzuia uanzishwaji wa Taifa la Palestina. Unafiki wao wa kujifanya wanasapoti two state solution wakati huohuo wanaVETO uanzishwaji wa Taifa la Palestina umewekwa wazi. Kwa hiyo wako busy kujaribu kuspin headlines lama walivyofanya kushambulia Wahouthi siku moja baada ya hukumu ya mahakama ya ICJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…