Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

kwani picha na video ya sehemu israel imeshambuliwa uliipata?
Israel hakupiga Iran wacheni ujinga, US anaomba Iran iwaruhusu Israel wakapige empty place ndani ya Iran na US amruhusu Iran akapige kwenye empty land kwenye nchi ya kiarabu 😄
 
BREAKING: Israel's National Security Minister Ben Gvir says 'weak!' on X, likely in reference to Israeli strike in Iran.
 
According to Aljazeera, RT and CNN the so called strikes are nothing just like an act of sabotage. Air defense systems were activated against suspicious objects in the skies and three drones were intercepted and destroyed. It was not an attack to match the scale of Israel rhetoric and vows for retaliation.
 
Niaje waungwana

Naona hata hapa ni wayahudi wa wachache wa bonyokwa ndio wamejitutumua ku report kashambulio ka Israel, ambako kimezuiwa mara moja bila kuleta madhara. Kila mtu anakumbuka shambulio kubwa la Iran nchini Israel jinsi lilivyoichanganya na kuishangaza dunia. Kila mtu alishangaa jinsi makombora ya Iran yalivyoweza kupenya kati kati ya vyombo vya ulinzi vya mataifa zaidi ya 7 yanayoitwa yana nguvu ulimwenguni.

Shambulio la Iran kwanza lilikuwa la kujiamini kwa kutaarifu adui kabla ya shambulio, lakini pili pamoja na ulinzi wa anga uliowekwa na nchi zinazoipa ulinzi Israel (maana Israel haina ubavu wa kujilinda) lakini bado walifanikiwa kuacha madhara makubwa kwa Israel na kupelekea washirika wake kuogoa kuiruhusu Israel irudishe majibu, wakihofia pengine majibu yenye hayatofanikiwa na kuleta madhara kama yalioletwa na Iran nchini Israel, lakini pia walihofia kwamba safari nyingine huenda Iran haitotoa taarifa tena ili wajipange tena kuzuia, bali watachagua siku sahihi ambayo haijulikani na kuacha mzigo ambao huenda utasababisha Netanyahu na genge lake wakaishi uhamishoni au kuzikwa chini ya vifusi vitavyochimbwa na makombora.

Mpaka sasa Israel wanaona aibu kuongelea shambulio lao lililofeli mapema sana. Sasa kwa vile mtoto akililia wembe inabidi apewe acheze, ili umkate na ajue madhara yake kuchezea wembe, basi tusubiri kimbunga kizito kitachoacha dunia inatetemeka juu ya kuangamizwa kwa taifa hilo lililojaza mashoga jeshini na serikalini.

Biden alimuonya Netanyahu kwamba asijaribu kushindana ubavu na mwenye nguvu, maana Israel imeshika kwenye makali na Isran imeshika kwenye mpini. Wakisema wavutane, basi Israel ndo itakatika vidole. Pia alimwambia clear kwamba kama yeye Mr Netanyahu ni kichaa, basi Ayatullah ni mwendawazimu kabisa ambae ameshafukuzwa hadi milembe. Akisema jambo lazima liwe, kama sio leo basi kesho au keshokutwa.

Iran imepambana yenyewe kudhibiti vikombora na vindege vya Israel, bila kulialia wala kuomba msaada kwa yeyote. Subiri sasa Iran itapojibu utasikia nchi zaidi ya 5 again zimetumwa kuisaidia Israel isiangamizwe, maana inafahamika wazi kuwa nchi hiyo kamwe haiwezi kusimama yenyewe katika ulingo wa vita bila msaada wa mabwana zao US, UK, Germany na France.
 
Acha wazichape tuone nani mshindi. Israel ilikuwa inawaonea Hamas ambao hawana hata kifaru kimoja sasa ngoja wapambane na wanaume wenzao walio kamilika kila idara.
Hii itakuwa ni vita mbaya kwa Israel kwani tayari ilikuwa taabani na Hamas.

Lakini mwana kulitafuta mwana kulipata. Israel ametafuta kwa nguvu zote hii vita. Ngoja tuone kama itasavaivu.
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Hayo maneno tu mkuu, Israel hawezi anzisha ugomvi bila kupata baraka ya West. Jana Cameroon alisema ni swala la muda tu Israel kujibu mashambulizi na yataescalate kadri siku ziendavyo mbele.....
 
Israel kavizia kuipiga Iran kwa gafla wakati Iran alitoa taarifa mapema kabisa 2 weeks before kabla ya kuipiga Israel.

Israel kafanya kushtukiza ila aonekane kashinda. Subiri kivumbi sasa. Hapo ndio jino kwa jino itakapofanyiwa kazi.
 
According to Aljazeera today (19th April 2024) An Iranian arms control expert says the reported attack “was far more limited than many expected”.


In an interview with Al Jazeera, Ali Ahmadi said Israel “has much more limitations in its operational range” than many think.


“Certainly, after Iran’s retaliatory capacity was criticised, it benefits from advertising how ineffective what Israel did was as well. Iran also needs to prepare the public for a much softer reaction than it has talked about in the last couple of days,” he pointed out.


Ahmadi said that prior to today’s incident, Iran was preparing all sorts of options for massive retaliation including getting allies involved.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…