Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Israel haina uwezo huo kwa sasa. Kwenye lile shambulio la Iran walitumia USD3.5bn ndani ya usiku mmoja. Vipi vita vikichukua mwezi?Israel sijakuzoea hivi picha na video mpaka sasa zakutafuta kwa tochi.Peleka makombora Tehran tuone majivu.Vinginevyo naungana na wote wanaodai Iran ni maji ya shingo kwako.Mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
🤣🤣Thomaso asee acha kutukera mtu wangu
Nataka nishuhudie kwa macho mimi ni Tomaso.Thomaso asee acha kutukera mtu wangu
Acha bangi, sasa mada yako inautofauti gn na hii mada ilipounganishwa.?Hahahaha moderators kama kawaida yao, siku hizi wana attack watu wanaoandika thread za kuishambulia Israel. Baada ya kuona thread niliyoandika inaiacha uchi Israel na wengi wanaonekana kuunga mkono na ku Like nilichoandika. Sasa wamekuja na uamuzi wa kuunganisha uzi wangu kwenye uzi mungine.
Jana niliandika mungine wakakimbia kuutupa katika jukwaa la Rwanda forum 😂😂😂
Hii hali ya uonevu na kuchagua thread za kuandika kuna siku itaisha tu. Maana hili shambulio la leo kuna thread kibao tu zimeandikwa na hazikuunganishwa maana zimeandikwa na wanao support Israel, ila ya kwangu ya kuponda kashambulio ka Israel ndo imetafutiwa sehem ya kupachikwa ili kuifichia huko na alieandika asijulinae 😂😂😂.
Hii ndio JF tulionayo sasa hivi.
Picha au video tafadhaliIsrael karudisha heshima yetu... 🤣 🤣
Wavaa kobazi walianza kutamba sana...
Yaani Israel imenipunguzia muda wa kukaa online kufatilia lini watashambulia
E bana sir unanivunja mbavu am in stitches🤣🤣 angalia usije ukaanza kuiomba hiyo picha ikuletee miujiza mkuu hiyo ni Artificial intelligence generated.
Wanachangamoto zao ndiyo ila changamoto hazifanyi Saudia aruhusu Marekani atumie anga lake kwa iran cos anajua Iran itajibu ndani ya ardhi ya Saudia na watakao umia ni wasaudia.Adui mkubwa wa saudi arabia ni iran mshia kwanini akatae
Ni mojawapo ya mbinu ya MedaniHata mimi imeniwia vigumu kunielewa na kuikubali Ile kauli ya USA Hali ya kuwa kasogeza meli za kivita karibu na uwanja wa mapambano
Huu msiba naona utakuwa kote kote mnama.....Msiba unanukia Tehran mnama
Mkuu hujui lolote na unapotosha. Iran kapigana na Iraq ya Saddam Hussein iliyokuwa inaungwa mkono na Marekani na nchi zote za magharibi pamoja na majirani kama Saudia, Kuwait UAE na wengineo kwa miaka minane kuanzia 1980 hadi 1988 na technically alishinda ile vita. Nikujibu yafuatayo:Iran ana mikwara mingi lakini hana ubavu wa kuendesha vita kubwa, nzito na muda mrefu kwa sababu hizi.
1. Ana matatizo makubwa mnoo ya kisiasa ndani ya taifa lake.
2. Hana uungwaji mkono kutoka taifa lolote kubwa lenye nguvu ya kijeshi.
3. Waarabu wanaomzunguka mpaka sasa wameshindwa kumuunga mkono.
4. Israel ina uungwaji mkono mkubwa kutoka mataifa makubwa ya kivita na wanaomzunguka.
Tangia Israel ishambuliwe Netanyau amekuwa akishiriki vikao na Baraza lake la ulinzi huku mataifa ya magaribi yakifuatilia moja kwa moja through E-Conference na kama unazielewa siasa za kimataifa na ugomvi unaoendelea kati ya East na West, jiulize kwanini Israel kamshambulia Syria pia? Maanaake anataka kumhusisha Urusi kwenye mgogoro huu ambaye ana mutual military assistance na Syria. Mambo ni mengi mazuri na mabaya yanakuja mkuu. 3WW ipo njianiInawezekana ni mpango kabambe wa siku nyingi..... Iran anatakiwa kuwa makini katika hili
U.s amekaa afganstan miaka 20 sembuse hio ya ukraine na israel ambayo hana wanajeshi wanaopigana direct acha uongoMkuu hujui lolote na unapotosha. Iran kapigana na Iraq ya Saddam Hussein iliyokuwa inaungwa mkono na Marekani na nchi zote za magharibi pamoja na majirani kama Saudia, Kuwait UAE na wengineo kwa miaka minane kuanzia 1980 hadi 1988 na technically alishinda ile vita. Nikujibu yafuatayo:
1. Iran hawana matatizo makubwa mno ya kisiasa ndani ya nchi yao. Kama yapo yataje.
2. Iran anaungwa mkono na Urusi na China. Tena Iran ni msambazaji mkubwa wa silaha anazotumia Urusi kule Ukraine zikiwemo Shaheed 136 drones ambazo zinasumbua sana Ukraine.
3. Hakuna hata mwaka mmoja Waarabu waliwahi kuiunga mkono Iran. Ukiachilia mbali masuala ya kiitikadi Waarabu na Waajemi walikuwa maadui wa jadi. Hata kwenye vita vya Iran na Iraq Waarabu wote walimuunga mkono Saddam Hussein. Kwahiyo hoja yako haina mashiko
4. Hayo mataifa makubwa yanayomuunga mkono Israel hayako tayari kwa vita nyingine kubwa. Vita ya Ukraine imewafilisi na mpaka sasa wanashindwa hata kutuma silaha na Zelensky kutwa anapiga kelele apewe fedha na silaha lakini hapati. Juzi shambulizi la Iran limeigharimu Israel USD 3.5BN ndani ya usiku mmoja tu. Vipi kama vita ikipiganwa mwezi mzima?
Usiandike tu kwa mihemko ya kiimani. Check your facts before writing.
Weeeeee eti eeeeh?Naona umekimbilia kum quote jamaa ili akupe support ya Like lakini kakupotezea 😂😂😂
eti unasema israel amekaa miaka mingap afghanistanIsrael amekaa afganstan miaka 20 sembuse hio ya ukraine na israel ambayo hana wanajeshi wanaopigana direct acha uongo
Ni usa typing erroreti unasema israel amekaa miaka mingap afghanistan