Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Imani yangu imenipa neema,wewe je?Mnatia aibu, Israel kawapa nini mmutukuze hivo? Mtu mweusi kwa Israel ni uchafu...watu wa ajabu Sana ninyi na Imani zenu za kinaskini.
US mnafiki, hapa anahusika kwa asilimia 100.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Pole ndugu ktk imaniMnatia aibu, Israel kawapa nini mmutukuze hivo? Mtu mweusi kwa Israel ni uchafu...watu wa ajabu Sana ninyi na Imani zenu za kinaskini.
Kwanini waseme USA na sio Israel?
Lile shambulio la Iran lilikuwa kama makokbora ya abiria au mapokezi ya ndege mpya. Dunia nzima ilikuwa inashuhudia tangu yanafyatuliwa.Sikiliza vyombo vya ndani ya Iran kwanza, BBC na Aljazeera watakuja baadaye.
Halafu imekuaje leo "bibisii" kimekuwa chombo cha habari cha uhakika?🤣
Sijakuelewa ndugu yangu........ naomba ulipe nyama swali lakoKwanini waseme USA na sio Israel?
wanakataaa kwa maslahi yao.. Vipo biasedSikiliza vyombo vya ndani ya Iran kwanza, BBC na Aljazeera watakuja baadaye.
Halafu imekuaje leo "bibisii" kimekuwa chombo cha habari cha uhakika?🤣
Kwanini unadhani hivyo ndugu...... Israel hawezi kufanya shambulizi mwenyeweUS mnafiki, hapa anahusika kwa asilimia 100.
Nduguuu yangu Hadi unashindwa kutambua mbinu za marekani? Kumbuka Israel hawezi kufanya Jambo bila USA na allies wake ..Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Nchi za kiafrika zimeshaona msaada ya bajeti za serikali zao ni haki yaoNchi kama Tanzania huwa hazijifunzi, so kusalimika ni ngumu, ila kama ingekuwa ni nchi inayojielewa na watu wenye vichwa ambao vichwani zina chaji, basi migogoro ya hivi ingekuwa ni fursa ya kuiimarisha nchi na kuipeleka kwenye kundi la nchi zilizoendelea.
Ila kwa sasa ni lazima ziathirike kuliko nchi zinazopigana.
Tungekuwa na watawala wenye utimamu wa akili hili lilipaswa kuwa somo kubwa la namna ya kujitegemeaPesa nyingi zaidi za magharibi zinaenda kwenye vya Ukraine kwa sasa.
Mbona naona kama Russia ni mdau mkubwa wa Iran..... unadhani anaweza kumuacha peke yake akichanwa chanwa na MAKOMBORA ya Israel ukizingatia Russia ni miongoni mwa mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshiIran ana mikwara mingi lakini hana ubavu wa kuendesha vita kubwa, nzito na muda mrefu kwa sababu hizi.
1. Ana matatizo makubwa mnoo ya kisiasa ndani ya taifa lake.
2. Hana uungwaji mkono kutoka taifa lolote kubwa lenye nguvu ya kijeshi.
3. Waarabu wanaomzunguka mpaka sasa wameshindwa kumuunga mkono.
4. Israel ina uungwaji mkono mkubwa kutoka mataifa makubwa ya kivita na wanaomzunguka.
Nilikuwa natambua na kujua unafiki wa US hasa linapokuja suala la Israel....... nilijaribu Tu kuliweka hapa ili kukaribisha mawazo mbaadala na kuboresha majadilianoNduguuu yangu Hadi unashindwa kutambua mbinu za marekani? Kumbuka Israel hawezi kufanya Jambo bila USA na allies wake ..
Marekani kaongea vile ili Russia na china wasiunge mkono Iran Ila hata haya mapigo Kwa Iran ymeendeshwa na America wenyewe
Hapana sijaogopa isipokuwa nimeongea kwa niaba ya wengi tutakaokwenda kuathirika na vita hii kwa namna moja au nyingine.........Acha uoga wewe