Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
WwIII haikwepeki, historia hujirudia tenaKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WwIII haikwepeki, historia hujirudia tenaKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Na hicho ndicho kinachoogopesha...... dunia inakwenda kutumbukia kwenye janga zito.......lakini ili kupatikane baba mpya wa dunia nadhani lazima vita hii ipiganweWwIII haikwepeki, historia hujirudia tena
Kitu gani kinakufanya uamini hivi ndugu......hebu nipe elimu hapaUnawajua vizuri waMarekani? Una amini wanachokisema?
Huyo Israel ni chambo tu mwenye shughuli yake bado anajifanya hatakaki kasusa.
Hapana; mambo yakiwaka sana USA na western alliances wataingilia kati , hasa pale usafirishaji kwenye Red Sea na ghuba ya uajemi ukiathirika sana. Tatizo kubwa la Israel ni Netanyahu; mtu huyuakiondolewa tu basi unaona USA itakavyochangamkia vita hiyo. Netanyahu anaongozwa na ubaguzi sana, jambo linalofanya USA yenye watu kutoka mataifa na imani zote duniani kushindwa kuwa upande wake sasa hivi.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Na hicho ndicho kinachoogopesha...... dunia inakwenda kutumbukia kwenye janga zito.......lakini ili kupatikane baba mpya wa dunia nadhani lazima vita hii
Vita ni janga, ni mbaya lakini ili kutokee balance duniani ni muhimu.Na hicho ndicho kinachoogopesha...... dunia inakwenda kutumbukia kwenye janga zito.......lakini ili kupatikane baba mpya wa dunia nadhani lazima vita hii ipiganwe
Ukizingatia lile eneo lipo kimkakati kwenye uchumi wa duniaVita ni janga, ni mbaya lakini ili kutokee balance duniani ni muhimu.
Mimi nilikuwa naamini yote ni majeshi mkuu......Tanzania jeshi ni moja tu,au na wewe unaamini siasa kuwa mpaka uhamiaji,zimamoto,magereza,polisi,tanapa nayo ni majeshi?
hata kama amerika akikaa kando israel itazichakaza nchi maadui zake kipigo cha ajabu kuliko kile cha six days warKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Sawa unalazimisha tukuamini alaf unasema mwisho wa Israel , we jamaa wa wapi , Yani waarabu waifute Israel , hzi ndoto za jangwaniAmini nakuambia inakwenda kuwa vita mbaya sana hiii......
israel pale ni Watchdog wa mataifa ya upande ule. Hakuna mtu asiyefahamu marekani ni super power kwa miaka mingi sasa. Ili kuendelea kuhold position yake lazima aangalie ni nchi gani inaweza kuwa tishio sababu kadri siku zinavyoenda mataifa mengine na yenyewe yanaanza kukua kiteknolojia hivyo kuhofia akizidiwa siku moja atashushwa pale Alipo. Kuiondoa Marekani katika ile nafasi itatumia miaka mingi sana kuliko wengi tunavyotamani iwe. Sababu alishapitia sehemu nyingi sana kama taifa na huwa hawaongozwi kwa hisia .Marekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........
Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
kwani kipi kitamzui kujibuAache porojo mabomu yamepiga Miji saba,ajibu sio maneno tuu
Asante sana ndugu kwa mchanganuo wako.... unaonekana umewiva kwenye siasa za kimataifa..... karibu jamviniisrael pale ni Watchdog wa mataifa ya upande ule. Hakuna mtu asiyefahamu marekani ni super power kwa miaka mingi sasa. Ili kuendelea kuhold position yake lazima aangalie ni nchi gani inaweza kuwa tishio sababu kadri siku zinavyoenda mataifa mengine na yenyewe yanaanza kukua kiteknolojia hivyo kuhofia akizidiwa siku moja atashushwa pale Alipo. Kuiondoa Marekani katika ile nafasi itatumia miaka mingi sana kuliko wengi tunavyotamani iwe. Sababu alishapitia sehemu nyingi sana kama taifa na huwa hawaongozwi kwa hisia .
Kingine nafikiri mi masilahi tu ya bidhaa kama mafuta na vitu kama hivyo.na israeli yupo pale kwa ubabe maana majinan wote hawampendi ila mpaka sasa Marekani alishafanikiwa kushika nchi nyingi za kiarabu na imebaki kuwa vibaraka tu. Iran peke yake ameendelea kuwa tishio kwa misimamo mkali
Wishful thinking. America has got ironclad support for Israel. Both kimaadili na kisheria.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
wacha iwe mbaya tumemchoka iran kusaidia makundi ya kigaidi kuishambulia israel imnyuke mpaka aombe amani huyo iranInakwenda kuwa vita mbaya sana hiii
Hapana ndugu.....nimetoa kauli ile ili kuvuta michango mikubwa kinzani...... inawezekana nimetumia msamiati wenye kukera.....Sawa unalazimisha tukuamini alaf unasema mwisho wa Israel , we jamaa wa wapi , Yani waarabu waifute Israel , hzi ndoto za jangwani