Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Nadhani bado hujaelewa propaganda za kivita na jeshi kwa ujumla wake....hilo shambulio liwe limefanikiwa au la lakini lina ujumbe mkubwa kwa Iran...... naamini mpaka muda huu watakuaa wanaendesha kikao kizito.....
Hata shambulizi la Iran lilikuwa na ujumbe kwa Israel kwamba hawako salama na wanafikika kwa makombora kutoka Iran.
 
Sisi bara la giza haya mambo sio ya kushabikia kabisa kwa maana athari za hizo vita zinatuathiri sisi zaidi tunaotegemea kila kitu kutoka nje.
Nifah baby count on me. As long as am alive nothing will happen to you even a scratch. I will protect you with my soul believe me. Rest assured you are safe and there is someone who is ready to even give up his life for you.

FOR YOU I WILL!
 
Hahahaha moderators kama kawaida yao, siku hizi wana attack watu wanaoandika thread za kuishambulia Israel. Baada ya kuona thread niliyoandika inaiacha uchi Israel na wengi wanaonekana kuunga mkono na ku Like nilichoandika. Sasa wamekuja na uamuzi wa kuunganisha uzi wangu kwenye uzi mungine.

Jana niliandika mungine wakakimbia kuutupa katika jukwaa la Rwanda forum 😂😂😂
Hii hali ya uonevu na kuchagua thread za kuandika kuna siku itaisha tu. Maana hili shambulio la leo kuna thread kibao tu zimeandikwa na hazikuunganishwa maana zimeandikwa na wanao support Israel, ila ya kwangu ya kuponda kashambulio ka Israel ndo imetafutiwa sehem ya kupachikwa ili kuifichia huko na alieandika asijulinae 😂😂😂.

Hii ndio JF tulionayo sasa hivi.
 
Yoyote atakaemgusa Israel kilio chake ni kikubwa zaidi ya anavyofikiri, kwa hio Iran ali-test Israel hakopeshi, wavaa kobazi mtoa roho wanamuita Israel jiulize kwanini?
Povu linavyokutoka utadhani umeliona hilo shambulio lililofanyika. Tena unaonyesha chuki kabisa utadhani wewe ni Zionist!
 
Yep, tunasubiri Iran ajibu tena kama yeye kweli ni kidume. Technology ya Islael kwa makombola ya kutungua na kujilinda ni kubwa.

Hapa kajaribiwa tu immune system yake.
Makombora mangapi ya Israel yametua ardhini na kuleta uharibifu? Maana mlihoji makombora ya Iran kule Israel. Vipi nyie makombora ya bwana wenu Israel yameharibu nini ndani ya Iran?
 
Mbona sioni chochote jamani hata kavideo hakuna🤣
Mgalatia uchwara wewe. Siwaoni kina Kambaku na 100 others . Yani nyie ni judas na brutus.

God JESUS BLESS and PROTECT ISRAEL

JESUS AND ISRAEL FIRST AND FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

JESUS IS GOD

FB_IMG_1712582411945.jpg
 
Hahahaha moderators kama kawaida yao, siku hizi wana attack watu wanaoandika thread za kuishambulia Israel. Baada ya kuona thread niliyoandika inaiacha uchi Israel na wengi wanaonekana kuunga mkono na ku Like nilichoandika. Sasa wamekuja na uamuzi wa kuunganisha uzi wangu kwenye uzi mungine.

Jana niliandika mungine wakakimbia kuutupa katika jukwaa la Rwanda forum 😂😂😂
Hii hali ya uonevu na kuchagua thread za kuandika kuna siku itaisha tu. Maana hili shambulio la leo kuna thread kibao tu zimeandikwa na hazikuunganishwa maana zimeandikwa na wanao support Israel, ila ya kwangu ya kuponda kashambulio ka Israel ndo imetafutiwa sehem ya kupachikwa ili kuifichia huko na alieandika asijulinae 😂😂😂.

Hii ndio JF tulionayo sasa hivi.
Punguza kuandika ujinga
 
Mgalatia uchwara wewe. Siwaoni kina Kambaku na 100 others . Yani nyie ni judas na brutus.

God JESUS BLESS and PROTECT ISRAEL

JESUS AND ISRAEL FIRST AND FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

JESUS IS GOD

View attachment 2968062
🤣🤣 angalia usije ukaanza kuiomba hiyo picha ikuletee miujiza mkuu hiyo ni Artificial intelligence generated.
 
Back
Top Bottom