Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Hata shambulizi la Iran lilikuwa na ujumbe kwa Israel kwamba hawako salama na wanafikika kwa makombora kutoka Iran.Nadhani bado hujaelewa propaganda za kivita na jeshi kwa ujumla wake....hilo shambulio liwe limefanikiwa au la lakini lina ujumbe mkubwa kwa Iran...... naamini mpaka muda huu watakuaa wanaendesha kikao kizito.....