Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

Sweden ya sasa imebadilika sana, sio ile ya zamani taifa la wacha Mungu. Uhuru gani huo wa kuchoma vitabu vya dini za watu wengine? Hii sweden ya sasa ni ya kipagani haiamini dini
Waswidi hiyo ndio asili yao huko ni maatheist na pagans mtupu toka enzi za Viking
dini walilazimishwa tu enzi za giza!
 
Hivi Sweden majority wana abudu dini gani?
61% ni wakristu, 30% hawana dini maalum. Asilimia zilizobaki dini ndogondogo.

Hili ndilo jibu. Lakini mambo ya uchomaji wa vitabu vya dini ni upuuzi tu wa watu wachache wanaotaka kuipima serikali kama inaheshimu katiba na sheria.

Hata Tanzania ni ruksa kuchoma kitu chochote zikiwemo hirizi, na vitabu wanavyotumia watu wanaofuata dini youote ile.

Lakini ni hatari kufanya hivyo ukiwa Tanzania maana unaweza kuuwawa.
 
Kuchoma kitabu chochote cha dini yeyote siyo uhuru ni ukosefu wa ustaarabu na kuheshimiana.
Kukosa ustaarabu siyo kosa kisheria. Lakini uwe makini na unapotaka kufanya tukio hilo maana sheria inaweza kutunzwa kwa namna tofauti mahali tofauti.

Mfano nenda nje ya msikiti wa mtoro ukachome kuruani, unaweza kujikuta na wewe umechomwa.
 
Wewe ni mjinga Nani alikwambia Sweden waliotoa kibali Cha kuchoma Quran ,ule ni uhalifu Kama uhalifu mwingine haihitaji kibali

USSR
Wewe shoga, polisi waliruhusu tukio lifanyike na walikuwepo kutoa ulinzi.

Kabla hujaandika jambo tumia akili kwanza sio makalio.
 
Sio kweli...

YESU ni MUNGU...

Kristo ndio Myahudi
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Screenshot_20230515-172320.jpg
 

Attachments

  • 20230715_185413.jpg
    20230715_185413.jpg
    57.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom