Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

Huyo jamaa aliyochoma torah ya wayahudi israel ikiamua kumsaka popote alipo atakamatwa kama kifaranga cha kuku kishukiwacho na mwewe. MOSAD mmoja mmoja tu anaweza kufanya kazi hiyo kumkomesha muhuni huyo kwa kitendo cha kidharau alichokifanya. Sweden ilitakiwa imfukuze raia huyo anayeonekana si msweden asilia ila ni muhamiaji tu aliyeitia unajisi nchi ya watu wengine. Hawa wahamiaji wenye imani tofauti na wenyeji wao wawe na heshima. Wamekaribishwa halafu wanatia aibu ugenini. Wapuuzi sana hawa wahamiaji wenye asili ya mashariki ya kati wenye mirengo ya kidini yao
 
Hivi Sweden majority wana abudu dini gani?
walikuwa wakristo safi wa madhehebu ya kipentekoste mpaka wakawa na wamisionari wao wa free swedesh mission church waliokuja mpaka tanganyika miaka ya 50 kueneza ujumbe wa Mungu. Eti leo hii wameacha kutusaidia tunajisaidia wenyewe kujenga makanisa yetu. Ni wakati wa kuwapelekea injili na wao wajue ukuu wa Mungu
 
Serikali inaonyesha kwa vitendo kuwa haina dini. Sisi huku tumekumbatia vikundi vya manabii wa uongo na kuviita dini.
vikundi vya manabii vimeleta madhara gani? Bora ungesema serikali inasema haina dini ila inashirikiana vema na dini ungeeleweka. Juzi kati kuna kikundi kimoja cha kidini kilikwenda kutembelea ujenzi wa bwawa la kufua umeme kana kwamba ni chama cha siasa kinachotawala au cha upinzani. Kikundi cha dini kwenda kwenye miradi ya serikali ina maana serikali imefungamana na dini, kitu ambacho hakipo sweden
 
Wewe shoga, polisi waliruhusu tukio lifanyike na walikuwepo kutoa ulinzi.

Kabla hujaandika jambo tumia akili kwanza sio makalio.
hii itakuwa kazi ya llluminat kuleta taharuki duniani watimize agenda zao za siri
 
sweden ilikuwa taifa linaloheshimika kweli lakini leo limekuwa la hovyo kweli....!( hii Yote inaweza kusbabishwa na kiongozi wa hovyo iliyonaye)
 
Kuna bangi inatoka kwenye sayari nyingine ndiyo inavutwa sasa
 
Alichoniacha hoi kwa nini aende ubalozi wa Israel kuchomea biblia?

Si angeenda jirani na kanisa ama sinagogi kama yule jamaa wa quran ambae alienda msikitini.

Huyu ni wale wale akili finyu. Chuki zao ziko Israel. Chochote mtu akifanya wao hasira zao ni Israel wakati aliechoma quran ni muarabu na muisallamu mwenzao.

Yule jamaa aliechoma quran amesema ataichoma tena.
 
sweden ilikuwa taifa linaloheshimika kweli lakini leo limekuwa la hovyo kweli....!( hii Yote inaweza kusbabishwa na kiongozi wa hovyo iliyonaye)
Uhovyo huo ni upi mkuu? Kuruhusu kuchoma Quran ama biblia?
 
Siku hizi Biblia na vitabu vingine vya dini viko katika soft kopi na vimeenea kila mahali. Kuchoma hard copi ya vitabu vya dini hakuwezi kuathiri chocho!
Kinachokatazwa ni Kitendo cha kuchoma kitabu kinachotegemewa kama muongozo wa dini ndio kinatafriawa ni kitendo kibaya cha dharau.
However kwangu mm naona binadamu tunacomplicate sana mambo.
 
walikuwa wakristo safi wa madhehebu ya kipentekoste mpaka wakawa na wamisionari wao wa free swedesh mission church waliokuja mpaka tanganyika miaka ya 50 kueneza ujumbe wa Mungu. Eti leo hii wameacha kutusaidia tunajisaidia wenyewe kujenga makanisa yetu. Ni wakati wa kuwapelekea injili na wao wajue ukuu wa Mungu
Mungu waliemleta wao ukawafundishe tena kuhusu huyo mungu?

Kinyago walichokichonga wao wenyewe wakakuletea unakiabudu, wao wameachana nacho wewe ndio uwapelekee tena?

Wazungu walishajua dini ilikua mpango wa kitapeli ku brainwash watu na wakafanikiwa sasa wanaachana nayo, wanatafta kitu kingine cha kuleta kwani dini haina maana tena, ilishakamilisha lengo lake la kuwepo.

Dini miaka 50 ijayo haitakuwepo ama itakua na ushawishi mdogo sana hivyo wanatafta ni kitu gani kivumbuliwe ili kuendana na wakati, dini ilishapitwa na wakati.
 
Msingi wa Ukristo ni Agano Jipya ( Injili ) na sio Torah
Kutokana na : Agano Jipya linaweza kumuingiza mtu mbinguni , bila ya kusoma Agano la kale ( Torah )

Msingi wa Judaism ni Torah , na sio Ukristo

Yesu anasema mimi ndiye njia , - Na sio Musa( Torah ) au Mahummud
😱😱😱
 
Ngoja tuone kama Wayahudi wataandamana hadi kufa wakilaani Torah yao kupigwa kiberiti
Wayahudi huwa wanaandama kutetea haki na mashoga tu google ujionee wakiandamana na kufanya parade za machoko Kila siku
 
Back
Top Bottom