Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

Kwa hiyo,Mungu anamuomba Mungu[emoji34]

Luka 6:12
Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Usitafsiri Biblia kimwili utapata shida sana.

Mambo ya kiroho hayawezi kuwa kama ya mwilini...
 
Roho mtakatifu ndiyo nani!?..mpagani hawezi soma biblia akaelewa na kuingia ukiristo!?..au wakiristo walizaliwa wakiristo!?..
Wewe ni dini gani tuanzie hapo..?

Mpagani ambaye atapata ufunuo wa Roho Mtakatifu ndio anaweza soma biblia na kuingia Ukristo...

Wakristo wengi wanajiita tu wakristo ila sio wakristo halisi ni kwasababu ya dini

Mkristo wa kweli ni yule aliyempokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake yaani mlokole, huyo anaishi kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu..

Roho Mtakatifu ambaye ndio anakuwa msaidizi na mwalimu anamemfundisha kusoma neno na kutafsiri, kushinda maadui ktk Ulimwengu wa Roho na mwilini na kuona mambo ya Rohoni...
 
Wewe ni dini gani tuanzie hapo..?

Mpagani ambaye atapata ufunuo wa Roho Mtakatifu ndio anaweza soma biblia na kuingia Ukristo...

Wakristo wengi wanajiita tu wakristo ila sio wakristo halisi ni kwasababu ya dini

Mkristo wa kweli ni yule aliyempokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake yaani mlokole, huyo anaishi kwa kuongozwa na

Roho Mtakatifu ambaye ndio anakuwa msaidizi na mwalimu anamemfundisha kusoma neno na kutafsiri, kushinda maadui ktk Ulimwengu wa Roho na mwilini na kuona mambo ya Rohoni...
Ulokole ni kitu gani?
 
Nawauliza wale wa Mungu anajipigania tuwanange waisrael au tuwaache?

wao nao ni mbuzi tu,kwani uchomaji wa hiyo kitabu Mungu anaathirika vipi!!!vitabu kibao vipya store vinasubiri wasomaji.

ukrito utaendelea kuwa mfano bora na rejea sahihi ya namna mtu wa imani kwa Mungu anatakiwa kuishi,Biblia ni neno la Mungu lililo katika makaratasi tu,yanawezachomwa,oza,chanwa nk,hakuna kinachotikisika.
 
Katiba ya Nchi pia IPO kwenye softcopy,,Sasa chukua hardcopy ichome hadharani...
By the way kuchukua Qur an au Biblia kuchoma maana yake ni kwamba ameidharau ndio maana watu wanaonyesha makasiriko yao kwa kuandamana.

katiba usiiringanishe na biblia mzee.

toka lini kuchoma kitabu ikawa ni ishara ya dharau!!!kikichambiwa mavi utasemaje!!!
kuchoma au kuchana kitabu ni ishara ya kukipinga au kutokubariana nacho.

leo hii makenge kibao wanadai hakuna Mungu,watu wanawaangalia tu,lakini kuchana kitabu watu wanakuja juu,mnafanya watu wote wanaoamini Mungu waonekane hamnazo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa Tanzania iliyojaa viongozi wapumbavu unaweza kuuwawa na watu wakashangilia
Leo Lekamwa aliyekuwa muanzilishi wa TLP kabla hajaiuza kwa Lyatonga aliisigina(kanyaga) katiba ya Tanzania pale Jangwani kwenye mkutano wa hadhara nakumbuka JMT ilimfungulia kesi ya kusigina katiba akahangaika nayo sana
 
Yesu hakuwa mkiristo alikua myahudi
Ni mwanzilishi wa Ukristo. Na ndiye Kristo mwenyewe.
Alianzisha Ukristo baada ya kufukuzwa( kupingwa ) Judaism/Uyahudi

Na ndiye wa kwanza kutaja neno kanisa
Mathayo 16:18

Na viongozi wa Judaism/Uyahudi ndiyo walifanya njama hadi kumuua.

Christ means anointed one
 
Back
Top Bottom