Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Vipi kuhusu FPM na hezbollah?
Umehama tena kwa maronite?
Tetea hoja yako maana umesema wanashirikiana na kuaminiana.
Hiyo taarifa katoa kiongozi wao. Wanataka kuachia wapiganaji 20000 wenye siraha mitaani kupambana na hezbollah.
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Sidhani kama wakristo wa Lebanon wanaunga mkono makundi ya kigaidi.
Hata wapo waislam moderates ambao hawataki nchi yao kuwa uwanja wa mapambano kwa kutumiwa na Iran
 
Umehama tena kwa maronite?
MTetea hoja yako maana umesema wanashirikiana na kuaminiana.
Hiyo taarifa katoa kiongozi wao. Wanataka kuachia wapiganaji 20000 wenyw siraha mitaani kuoambana na hezbollah.
Hiko chama cha siasa ni Moronite na kina ushirikiano mkubwa wa kisiasa na hezbollah
 
Sidhani kama wakristo wa Lebanon wanaunga mkono makundi ya kigaidi.
Hata wapo waislam moderates ambao hawataki nchi yao kuwa uwanja wa mapambano kwa kutumiwa na Iran
Hii vita wapo wazayuni ambao pia ni waislamu wanashiri ,japo udini upo ila kibongo bongo tumeiweka kidini zaidi kuliko wahusika.
 
Duh,Jamaa wakimkamata kichwa chake mali yao,maneno gani bwana haya?

Ukimsoma katikati ya mistari issue ya pagers na walkie talkie kugeuzwa mabomu kunawafanya kurejea japo miaka 70 nyuma kwa kuanza kutumiana jumbe kwenye bahasha maana hata simu TVs computer haziaminiki tena
 
Kama Israel wanajiamini kweli waue mwingine waone.
 
Lebanon nchi nzuri inakwenda kuharibika sababu ya mabifu ya hesbolah (iran) na israel... walebanon halisi wenyewe ni watu wa kula goodtym na ku-vibe tu
Wanawahost hao Hezibolaa wa kazi gani? Mambo mengine hayana maana.
 
Afadhali wameanza kuambiana ukweli.
 
Hiko chama cha siasa ni Moronite na kina ushirikiano mkubwa wa kisiasa na hezbollah
Huo ni muunganiko wa baadhi ya wakristo na waislam wanaopinga Zionist. Tambuwa kwamba sio kila myahudi ni Zionist. Wao hawapigani na kila myahudi.
 
Ungepinga hoja yangu kwa hoja sijawahi kuwa na dini yoyote , hata ningetaka dini ukristo usingekua chaguo langu.
Ndio maana nikasema wewe ni muasi, siwezi tumia hoja nzito wala hoja yoyote kukujibu wewe ambaye fikra zako zishatiwa upofu huna ujuzi wowote na ni bahat mbaya sana umeshagua njia ya upotevu.
Vitu vizito navyoweza kuviongea kuhusu suala hili, u have got no tallents to comprehend
 
Mh!

Mbona mimi mzani wangu nikiyapima haya maneno unagoma kuelewa?ninyi kabisaa?
 
Umeninukuu vibaya.
Hapana, I have seen this several times yaani una enjoy kufanya mizaha na dhihaka za kidini haswa mambo yanayohusu uislamu , mtu ukipenda sana mizaha , dhihaka na kukithirisha unajikuta unakuwa mpuuzi bila kujijua taratibu uwezo wako wa kupima na kung'amua mambo kwa sawa unapungua unakuwa unaenda upepo unapovuma tu blindly , ndio maana wakina Maghayo na wenzake wamekuwa watu wa hovyo hata kwenye mijadala seriaz na ambayo sio ya kidini.
Kumbuka Uislamu unakataza "Elimu ya Dunia"unasisitiza zaidi "Elimu ya kesho Ahera" kwahiyo bidhaa za Electronics zikianza kulipuka hawajui hata wafanyeje zaidi ya kusema Allah ndie kasababisha😆😆😂🤣
Tukianze kuchambua hapo "Uislamu unakataza Elimu Dunia " = Uongozi wa wazi na mzaha

"Hawajui wafanyaje zaidi ya kiswm Allaah die kasababisha" = Kejeli na dhihaka za wazi
 
Israel hana mchezo asee mbona wataisoma Namba na hapo bado ,anagusa maeneo muhimu tu alianza na pagers,Leo kiongozi anasogea tu mbona mpaka waseme Hezbolah
 
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…