Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Ila tukubali tukatae Lebanon kuna wakristo karibu nusu ya raia wote ,pia madhara ya kivita yanawapata wote .
Ni kweli, Lebanon kuna 35% ya wakristo lakini wanaishi kwa kubaguliwa sana japo Lebanon ilikiwa nchi ya Kikristo lakini kulengwa na kuuawa kwa wakristo kulipelekea wengi kukimbia.
Besides, hiyo vita upande mmoja unatumia dini, wakati upande mwingine hautumii kigezo cha dini. Hata Israel kuna waislam wengi tu na wengi wamekua wakiuawa na mashambulizi ya Hezbollah
 
Tukianze kuchambua hapo "Uislamu unakataza Elimu Dunia " = Uongozi wa wazi na mzaha

"Hawajui wafanyaje zaidi ya kiswm Allaah die kasababisha" = Kejeli na dhihaka za wazi
Sasa ni kwanini Waisilamu wameachwa nyuma kwenye Teknolojia kwa mfano wagunduzi wengi eidha ni Wakristo Wayahudi Mabudha na hata Maetheist?!
 
Huo ni muunganiko wa baadhi ya wakristo na waislam wanaopinga Zionist. Tambuwa kwamba sio kila myahudi ni Zionist. Wao hawapigani na kila myahudi.
Bongo tumeiweka kidini na chuki , makanisani wanahubiri amani na upendo ,huku wanafurahia wapalestina wanavyodhulumiwa na hawa mazayuni ndani ya nchi yao na kuuwawa .
 
Ndege za F-35 Leo zimefanya unyama Sana Lebanon.
Hili ni pigo kubwa Sana Kwa Hezbollah maana huyu kamanda wao ndiyo alikuwa master plan wa kundi, Acha tuone mwisho hii moviie maana Hezbollah wameomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq
Huyu kamanda nasikia aliua watu 63 kwenye shambulizi katika ubalozi wa USA huko Lebanon mwaka 1983.

Usa iliweka dau la dola milioni 7 kwa atakaempata.

Naona Israel imeamu kujilia kichwa chake kirahisi tu.

Bado wale wavaa vipedo wa pale Yemen, ngoja amalizane na hawa Hezbollah kwanza.
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Haupigwi Ukristo, bali yanapigwa magaidi ya kiislamu Hezbolla
 
Bongo tumeiweka kidini na chuki , makanisani wanahubiri amani na upendo ,huku wanafurahia wapalestina wanavyodhulumiwa na hawa mazayuni ndani ya nchi yao na kuuwawa .
Kwa mkristo alie nje ya Israel, cha muhimu kwake ni ile ardhi kuliko Myahudi.
Ila kwa kuwa myahudi ndie anaimiliki hiyo ardhi ndio maana unaona wanatetea vyote (ardhi na mmiliki) ila Muhimu zaidi kwa mkristo ni Ardhi ya Israeli ambayo ni nchi ya ahadi.
 
Yani Israel iwe nchi ya ahadi kuliko tanzania?😁😁😁
 
Praise to jesus
 
Usianze ligi za kipuuzi. Nimekujibu sababu ya wakristo kuitetea Israel.
Kuwa nchi ya ahadi ni agizo liko kwenye biblia kwa anaeiamini.
Wewe kwakuwa umechagua fungu lako, usitake kumchagulia kila mtu.
Sijamchagulia mtu chochote nimeuliza tu , Kama jukwaa huru .
 
Watu wanajua ISRAEL ni m babe katika vita lakini hawakomi HAKIKA YESU NI MUNGU wamtumainie wapata faraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…